Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kumbuka anapiga shule 2, anafanya masters while pia anafanya mitihani ya Nani Bingwa Aje Aone (NBAA ) wakati huo huo ana watoto 3 wanamtegemea; tumvumilie.
 
Unataka aache shughuli zake aje aandike ili wewe kula.kulala hapo kwa shemeji yako usome na kuvuta muda wakati unasubiri wajomba zako wamalize kula utandike godoro hapo sebuleni.

Acha uboya dogo.
 
Unataka aache shughuli zake aje aandike ili wewe kula.kulala hapo kwa shemeji yako usome na kuvuta muda wakati unasubiri wajomba zako wamalize kula utandike godoro hapo sebuleni.

Acha uboya dogo.
Kwa7b kichwa chako kimejaa 💩 ndo maana huwazii niliyoandika ila kingekuwa na ubongo ungewaza kwa kina kuhusu niliyoandika.

DIAMOND aliwahi kupigwa CHUPA huko ugenini na mashabiki kisa kuchelewa kutumbuiza jukwaani, Muda uliopangwa ni saa 10 yeye alifika saa 11.

Hivyo DIAMOND naye ali nakili kuwa NJE ni kama BONGO kuwa ukipanga muda unapeleka mbele kidogo.


Sasa huyu INSIDER MAN anachokifanya humu ndo kama alichofanya DIAMOND huko nje, hivyo naye anastahili ADHABU tena sio kwa bahati mbaya maana ni YEYE MWENYEWE ndo anapanga muda na anashindwa kuendana nao.

Sasa nakushangaa Kommando muuza madafu unavyomtetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…