Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mara nyingi we jamaa ahadi zako huwa hutekelezi kwa wakati sahihi hasa ktk iz chapisho zako za mwisho mwisho, KWANN🗣️

Ktk izo chapisho umekuwa ukiahidi saa flani ila ulipitiliza hadi kesho yake.

Hivyo mpaka sasa sishangai kwa hili kuto kutendeka.
Kumbuka anapiga shule 2, anafanya masters while pia anafanya mitihani ya Nani Bingwa Aje Aone (NBAA ) wakati huo huo ana watoto 3 wanamtegemea; tumvumilie.
 
Mara nyingi we jamaa ahadi zako huwa hutekelezi kwa wakati sahihi hasa ktk iz chapisho zako za mwisho mwisho, KWANN🗣️

Ktk izo chapisho umekuwa ukiahidi saa flani ila ulipitiliza hadi kesho yake.

Hivyo mpaka sasa sishangai kwa hili kuto kutendeka.
Unataka aache shughuli zake aje aandike ili wewe kula.kulala hapo kwa shemeji yako usome na kuvuta muda wakati unasubiri wajomba zako wamalize kula utandike godoro hapo sebuleni.

Acha uboya dogo.
 
Unataka aache shughuli zake aje aandike ili wewe kula.kulala hapo kwa shemeji yako usome na kuvuta muda wakati unasubiri wajomba zako wamalize kula utandike godoro hapo sebuleni.

Acha uboya dogo.
Kwa7b kichwa chako kimejaa 💩 ndo maana huwazii niliyoandika ila kingekuwa na ubongo ungewaza kwa kina kuhusu niliyoandika.

DIAMOND aliwahi kupigwa CHUPA huko ugenini na mashabiki kisa kuchelewa kutumbuiza jukwaani, Muda uliopangwa ni saa 10 yeye alifika saa 11.

Hivyo DIAMOND naye ali nakili kuwa NJE ni kama BONGO kuwa ukipanga muda unapeleka mbele kidogo.

Sasa huyu INSIDER MAN anachokifanya humu ndo kama alichofanya DIAMOND huko nje, hivyo naye anastahili ADHABU tena sio kwa bahati mbaya maana ni YEYE MWENYEWE ndo anapanga muda na anashindwa kuendana nao.

Sasa nakushangaa Kommando muuza madafu unavyomtetea.
 
Back
Top Bottom