Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

INSIDER MAN Una talent ya uandishi wenye mtiririko mzuri wa matukio, it's like a real movie but written on a paper, I wish kama watu ulokutana nao kama kina mzee Pama wangekua ndio wapo hollywood na wao ndio wakushike mkono kurudi Shule kama walivyochochea kurejea kubukua kitabu, Na badala yake Shule unayopiga iwe ni elimu ya kwenye industry ya movies I.e script writing and directing. Hakika ungepika movies/series tamu sana.
 
INSIDER MAN hili ombi naomba ulifanyie kazi asee itamsaidia sana bro wangu ambae mwakani anatimiza 18 yrs😁 yupo JF humu ila acha niwe mkimya tu


and of course me too it will help somehow
 
bora umepata nguvu za kuandika, maana mimi niliishia kumwonea huruma huyo jamaa!
anaona kupika kazi ya mwanamke? ni hasara kuwa na vijana aina hii....
 
Mimi Kama daktari wa wakimama na ni kidume.
 
Hiyo Kabul pilao unatulisha roho za mauti nini? Ni sawa na jamaa muvaa jezi imeandikwa Sanda.

Kwanini usingetumia lugha nyingine sister japo hiyo picha nyingine ya viazi na hilo sotojo, dah umeamsha minyoo yangu asubuhi hii.
Usiongee kitu usicho kijua
Unataka nitumie lugha ipi wakati ndo jina lake si uende google🔍
Ni Kabul sio Kaburi.
Kabul ni mji
Kaburi anazikwa mtu vitu 2 tofauti.
 
Muda wa lunch umekwisha sasa… mtawanyike kurudi maofisini

15people are here……
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…