ID yako ibadili sasa maana haiendani na ulichoandika, unataka watu waishi kama babu zetu? , haya niambie kipi kikubwa hao babu zetu walifanya ambacho leo hii tunajivunia,au ndio hio Katiba ya Tanganyika ambayo yenyewe tulipewa muundo?,ki ufupi hakuna na angalau walistaarabishwa na hao wenye tamaduni unazobeza.Mwanaume ni mtu aliekamilika maana yake ni kwamba kila shughuli ya kibinadamu anaiweza kwa ufanisi wa asilimia mia moja iwe ni kupika na mengineyo . Mwanamke yeye ni kiumbe ambacho kinatafuta kukamilika maana yake kuna shughuli ambazo anafanya mwanaume yeye haziwezi kamwe na ili zifanyike lazima awe na mwanaume.
Shida ya wabongo wengi exposure ndogo na mnaona miaka 90 iliopita ni sawa na sasa. Hebu google angalia wapishi(Chef) wakubwa duniani wenye 3 Michelin Star wengi ni wanaume au wanawake.?
Ushawahi kushiriki Shughuli kubwa kama maharusi , Vipaimara au Maulid?. Asilimia kubwa wapishi ni wanaume , huu utaratibh haujaanza leo ni wa miaka kamuulize babu yako kama yupo hai , usije ukasema kwasabu wana nguvu za kupika chakula kingi maana haina mashiko.
Mwanaume unapaswa kujua kila kitu ambacho ni muhimu(Chakula kitamu katika orodha) kwako kwa asilimia mia moja , yaani ikitokea hata wanawake wotoweke ghafla hukosi chakula kitamu unachopenda kwa ujinga wako.
Kwa taarifa yako wanaume ndio wanaojua kupika kuliko wanawake , mfano angalia historia ya Pizza , Burger ,Sushi N.k
Man up bro , Remember .Ego is your enemy.
Nyie ndio mnaolia kilio mkiachwa , Ukikumbuka Pishi la Mwajuma jinsi ulivyokuwa ukilifurahia mpaka kububujikwa na machozi na Mwajuma kakuacha unalia kwa kugalagaza miguu[emoji51][emoji1787]