Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mama J kwasasa hayuko chini ya wazazi ni above 18. Ana maamuzi yake kama mtu mzima, kuhusu ukristo naweza kuswitch nakuwa muslim. Akina Seleman walioa wake 700 sembuse mimi wake wawili tu?
Unaweza pia usiswitch ukasalia ulipo ila ukawa na wake wawili. Mababu hawakuswitch na walikuwa na mke zaidi ya mmoja. Mbeya kuna kanisa la mitume, Apostolic Church wana wake zaidi ya mmoja
 
That one shouldn't bother you...when the time comes,nature will amicably solve the problem....you have all the blessings from her...karma will hunt you down when you decide to betray what you believe is right...
 
I’m at a stage where I love both equally, 50/50, and I don’t want to lose anyone.πŸ€”
And that is what it takes to be real Man....in fact there is a place where the % is high....don't be a captive of your own identy living in prison of your own creation....wish you luck on your journey
 
And that is what it takes to be real Man....in fact there is a place where the % is high....don't be a captive of your own identy living in prison of your own creation....wish you luck on your journey
Thank you, I appreciate your perspective. I'm trying to find a balance that works for everyone involved. Any advice on navigating these feelings?.
 
That one shouldn't bother you...when the time comes,nature will amicably solve the problem....you have all the blessings from her...karma will hunt you down when you decide to betray what you believe is right...
β€œWhen Iryn got pregnant without my consent, what decisions do you think you would have made if you were in my position? Just imagine, the pregnancy is yours.β€πŸ€·πŸ»β€β™‚οΈ
 
β€œWhen Iryn got pregnant without my consent, what decisions do you think you would have made if you were in my position? Just imagine, the pregnancy is yours.β€πŸ€·πŸ»β€β™‚οΈ
I once was on the same situation back 2015 when she conceived without my consent .but when she break news that she is pregnant ,I accepted and became accountable of my own action....remember this lady was my university lecturer..she blessed me with twins (Blanca na Bianca)..don't reject pregnancy simply because you were not involved in the decision process..as a man you need to be accountable and responsible..this is why you are now travelling to SA....while making sure my friend Junior and his mom has all the needs....
I once said" katika kiumbe kinacholaumwa sana duniani lakini chenyewe LAWAMA hizo kinaona ni Sifa ni MWANAUME ...
Be confident,walk tall,make sure your niche is well kept and those around you are happy..
 

zawadi Gani
Angetaka nn ss kwa uyu kaka na ela ye ndo anaempa...amuulize mama j aone kama hatomwambia amjengee nyumba kwa jina lake linalosomeka NIDA
 
Ushasema kabla ya Yesu. Hakuna aliyekunyima kuoa wengi ila kama Yesu kwako ni Bwana na MWOKOZI wa maisha yako sheria yake haibadiliki kufuata tamaa za wanadamu mkuu. Hakunaga Mungu wa kisasa mzee. Mungu ni yule yule na utaratibu ni uleule.
 
Ninaposema "ni muhimu uonyeshe kwamba una nia ya kufanya mambo kwa njia sahihi na ya kidini, hata kama kuna makosa yaliyotokea," ninamaanisha hivi, insider anatakiwa kuonyesha kuwa anataka kurekebisha hali iliyopo kwa kufuata maadili na kanuni za kidini, hata kama amefanya makosa (kama kuwa na watoto na wanawake wawili bila kufunga ndoa rasmi). Hii ina maana kwamba:

1. Uaminifu: Awe mkweli na wazi juu ya makosa yake na kutokuwa na siri au kuficha hali halisi.

2. Kuheshimu Wajibu wa Kidini: Katika jamii nyingi za kidini, ndoa na familia ni vitu vya msingi. Jamaa anapaswa kuonyesha kuwa anataka kufanya uamuzi wa kufunga ndoa na wanawake hao wawili kwa njia ya heshima na kulingana na taratibu za kidini, sio kwa siri au bila mpangilio.

3. Kujitolea Kurekebisha
: Badala ya kuendelea katika hali ya sintofahamu, aonyeshe kwamba anapanga kujitolea kufanya mambo kwa usahihi( juhudi na shauku inaashilia kujali ) , kama kufunga ndoa na wanawake wote wawili (ikiwa wanakubaliana) au kutafuta suluhu ya amani kulingana na dini na maadili ya familia.

Kiufupi, ni kuonyesha kwamba pamoja na changamoto na makosa yaliyotokea, anataka kufuata njia sahihi kimaadili, kidini, na kisheria(NDOA za kisheria), kwa kuonyesha uwajibikaji na nia ya kurekebisha hali.

Natumai nimejibu swali lako mkuu
 
Njia ipi hiyo naye ni wa kama ndoa moja kidini.. Ila umeandika mengi akusome vizuri.. Mwishoni na ya dini na ushauri wako ni kule A na kule Z πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ikiwa mama anashikilia msimamo wa kidini unaotambua ndoa moja tu (monogamy), kumshawishi inaweza kuwa changamoto kidogo. Hata hivyo, njia stahiki inayoweza kusaidia ni kuonyesha NIA ya kufuata maadili na taratibu za kidini (kumbuka lengo Ni kumuingiza mama kwenye mfumo), hata kama hali tayari imekuwa ngumu. Njia hizi ni pamoja na:



1. Kuomba Msamaha na Kukiri Makosa

Mwamba anapaswa kukiri kwamba hali ya kuwa na watoto na wanawake wawili imekiuka matarajio ya kidini na maadili ya familia, kisha kuomba msamaha kwa mama yake na kuonyesha kujutia. Hii inaweza kumsaidia mama kuona kuwa, japokuwa mambo hayakuwa sahihi mwanzoni, mwanaume anajitahidi kufanya mambo kwa njia bora sasa.


2. Kujitolea Kufanya Maamuzi ya Kimaadili.

Ikiwa mama anapendelea ndoa ya mlengo wa mke mmoja, insider anaweza kuonyesha kwamba anapanga kufuata njia inayofaa, kama kuchagua mmoja kati ya wanawake hao na kufunga ndoa rasmi naye. Anaweza kueleza na kuonyesha kuwa anajitahidi kurekebisha mambo kwa njia inayoheshimu imani na matarajio ya kidini ya mama yake.

3. Kujadiliana na Wahusika Kwanza

Kabla ya kuamua kumwambia mama yake, insider anapaswa kuzungumza na wanawake wote wawili (Iryn na Mama J) na kuelezea wazi mipango yake. Ikiwa mama yake anasisitiza ndoa moja, anaweza kujadiliana na wanawake hao kuhusu nini cha kufanya. Ikiwa mmoja atakubali kuwa mke pekee, inaweza kumsaidia kufuata mapenzi ya dini na kumshawishi mama kwamba ana nia ya kufanya maamuzi sahihi.



4. Kuheshimu Maoni ya Dini na Familia

Kwa kuzingatia imani ya mama, INSIDER anaweza kuonyesha kuwa anaheshimu mafundisho ya kidini, hata kama tayari ameenda kinyume na maadili hayo. Anaweza kumwonyesha mama kuwa yuko tayari kufanya maamuzi yenye maadili bora kwa kufuata kanuni za dini, labda kwa kushauriana na viongozi wa kidini kuhusu njia bora zaidi ya kusonga mbele.

NB: Mlengo wa kidini, waweza kuwa Si tu kwa mama, Bali hata ukweni

Ushauri kuwa A to Z (kutokana na mtazamo muuliza swali).
Ni kutokana na kuwa na 30% ya taarifa, Haina, hulka na mazingira ya wahusika siyajui vizuri, ndiposa matokeo ya shauri mbalimbali anazoweza chukua kulingana na MAZINGIRA.

Pia, Njia stahiki itategemea sana mtazamo na imani ya mhuusika, kwa sababu Yu huru na anautashi aliyojaliwa na Mungu.... mathalani, insider kadokeza kwamba Irene ameamua kujitenga kidogo na mlengo wa kihabeshi.

lakini mwongozo wa msingi ni Insider kuonyesha majuto, kuomba msamaha, na kuonyesha nia ya kurekebisha mambo .

Mkuu, natumai umenielewa
 
Hakika mkuu, swala hili SI have hata kidogo
 
I really appreciate your insight and personal story and it’s great to see how you took responsibility and embraced fatherhood despite the situation. I fully agree that as men, we must be accountable for our actions and support those around us. In my case, I’m working through things step by step and making sure everyone involved is cared for, just like you did. It’s not an easy path, but I’m determined to handle it responsibly and ensure that those close to me, like Junior and others, are happy and well supported. Thanks again for the advice, it’s a reminder to stay grounded and take pride in doing the right thing. ✊
 
Inafikiriaha mkuu!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…