Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kuna kitu kinanitatiza namna tunavyomtambua Mama J na kulinganisha Maandiko matakatifu.

Kimsingi, Mama J hatambulikinkama Mke kwa Mujibu wa Biblia tinayoifanyia rejea kwa sababu Ndoa ya Kanisani bado haijafumgwa. Insider Man, kwa Mujibu wa maelezo yake, amelipa mahali tuu kwa Mama J. Hivyo, Mama J anatambulika kama Mke wa Insider, kimila.

Kwa maelezo haya, sidhani kama ni sahihi kutumia Maandiko kumshauri Insider kuhusu kumuacha Mama J kama Mkewe wa Ujana ilhali Maandiko hayamtambui Mama J kama Mke wa Ujana wa Insider.

Nadhani, tujikite kwenye asili inayomtambua Mama J kama Mke wa Insider ili kuepuka Karma.

Kipekee, pamoja na sifai nzuri za Ireen zilizoelezwa hapa, lakini, Ireen kwa mtazamo wangu, ni Mbinafsi sana. Yeye kushare na Mama J, anaona sawa. Ila, Mwanamke mwingine kushare naye, ni Big No! Kingine, Ireen anaonekana hayupo tayari kuwa chini ya Insider. Utiifu wake una mashaka sana. Ukishaona Mwanamke anakupa masharti kila siku kuhusu kutowaona Watoto kisha uchepukaji, ni changamoto. Beijing imemkaa kichwani na anaona naye ana Haki ya kumuamrisha Mwanaume. Na katika hili, Insider anapaswa kujiandaa nalo mapema ipasavyo. Siku Ireen atakapofikisha Idadi ya Watoto awatakao na wakawa Wakubwa kiasi cha kuendesha Biashara zake, kuna hati hati Insider kunyanyasika. Kwa kweli, Insider asithubutu kumruhusu Ireen kumvuruga na kumwachanisha na Mama J. Maana yake, siku Ireen akiwa ndiyo Mke pekee, sidhani kama Insider atafurahia mahusiano/ndoa husika na Karma itamtesa.
 
Fact kubwa sana hii anco💯🙌🏻😅
 

Ni kama umesoma kwa kuruka ruka au unasahau haraka uliyosoma kwa kuona ya Mama J.

Pole ila maisha haya wanaume wapo wanaowatendea wanawake zaidi Wake zao zaidi ya haya tumesoma.. aliyoandika kwa kifupi.

Nawe mara Dini, mara kabla sijui kimila, mara Iryn vile na vile unamtungia mamboz hata ya Baba J nae unamtungia.

Kumbuka na kunukuu ya Ukristo anayejaji ni Mola. Ulionalo baya labda mwenzio anaongeza Neema na Rehema 😊 kwa mwingine inakuwa nuksi.. Tuangalie usihukumu kivile eeeeh kama ndio fainali.

Pia amesema wote wake zake watarajiwa.. Ndoa bado ya kanisani, kashauriwa aende Wilayani sijui Mkoani afunge ndoa. hivyo wote wawili ETI atajitahidi kuishi nae wawe na furaha..

Subiri nasi Mama J ajue ya kutendwa na kufanyiwa mjinga hadi kuletewa wenzake ndani na kuwa Aunt wa J. Hilo ndilo mwenzetu hapo ANALO.. Tumuombee avuke yote salama na Mola atupe uhai wote tumsome humu hadi anazeeka 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
 
They are all my wives and have equal rights
🫣😊All tena!!!!!!! Nilifikiri both..
Hii stori inahusu nini? Je ni fiction au reality?
The latter, soma ukitaka uburudike pia.
Yeye kushare na Mama J, anaona sawa. Ila, Mwanamke mwingine kushare naye, ni Big No! Kingine, Ireen anaonekana hayupo tayari kuwa chini ya Insider. Utiifu wake una mashaka sana.
Mmmmmh so aongeze wengine iweje.. Hujasoma tabia za Baba J na wanawake wengine? Magonjwa etc hayo no. Acha awe na wivu kakubali wapo wawili sio kijiji kama alivyo anawatenda wawili anao bado kiguru njia na wengine. Acha kusema vibaya Iryn wamekuwa muwazi. Wanaume mkifunga zipu zenu haya hayatokei..
Kwa kweli, Insider asithubutu kumruhusu Ireen kumvuruga na kumwachanisha na Mama J.
Wapi umeona atamvuruga, mmesoma stories hii au hamjasoma tena yote eeee na anayoandika nje ya episodes? Kama nyie wengine mmekutana na wanawake naamini lazima ni hawapo kama Iryn kutoka angle zote mpite kimya.

===========

Kuna wanaume sijui wanawake humu naona ishara za W I V U zinashamiriiiiiiiiiiiiiii
Wanatamani Insider abadilike amchukie Iryn kwa kumtungia maneno na wamekuwa muwazi. Mtofautishe watu na watu.. Bongoland labda ndio coz both wangekuwa wanatokea nchi moja.. Na Iryn kawa muwazi na yake. BABA JAA maneno mengine usiyachukue kabisaaaa kuanza kumbadilikia Iryn. Hawatakuwepo kukupa Hongera bali watakuwa kichekooo humu.
 
SEMA bro kuna mambo mengi hujatuambia kwenye story yako, vipi kuhusu mama j zile simu alizokuwa akiongea nazo alikuwa ni basha kweli au alikuwa anapima upepo.
 
Hahaha🤣🤣🤣 eti tumsome humu Hadi anazeeka, una vituko wewe
 
SEMA bro kuna mambo mengi hujatuambia kwenye story yako, vipi kuhusu mama j zile simu alizokuwa akiongea nazo alikuwa ni basha kweli au alikuwa anapima upepo.
MKuu..kumegewa ni siri ya ndani hawez kusema kweli ataonekana weak wakat amejipotray sexy bright and strong
 
 
"Mkuu kama itakupendeza ninafanya biashara ya samaki jumla(samaki wa maji chumvi)naomba niunganishe na Jane kwenye supermek nimletee samaki kwa bei ya jumla ni hilo tu mkuu🙏🏻🙏🏻 natanguliza shukrani"

MKUU! UNATAKA KUMPELEKEA JANE SHOMBO YA FELI? ACHA MASIHARA!
 
Mama J hajafunga ndoa na Bro...so as iryn...na Iryn amepiga hatua...ni kama Ile "yule WA kwanza akaenda mbio lakini hakuingia...akaja na yule mwingine mbio nae akaingia Moja Kwa Moja mpaka ndani ..."
 
My friend , you are going to loose everything. Mark my words. Iryn knows what she wants and the problem is you think you are one step ahead. There is a big possibility of you not getting support from your family and Mama J agreeing.
Hakuna mwanaume akafika stage hiyo halafu apoteze....otherwise you don't know the rule of the game ...
 
We are lucky to welcome our second baby, a boy, and we have named him Adrian.
Hongera bro...hongera sana...msalimie mama watoto(Ariana &Adrian)...hiyo point alisema anataka kufika Dec umpeleke kwenu..unatakiwa upange forward zako vyema ukimshirikisha Dada na mzee pia..maana Hawa wawili ndo wanamfaham...hii ndo backup yako na wao Hawa ndo watengeneze mazingira Kwa mama..maana huwez kwenda Kwa kumvamia mama..ni lazima apate taarifa kwanza...otherwise mama watoto asiwe na presha Wala haraka maana umeshamtambulisha Kwa baba na dada na ana A,b,c za familia yako bila kumsahau mama J anamfaham vyema..akumbuke aliwahi funguliwa mlango na mama J mara baada ya wewe kumzaba kibao usiku ule..
 
Ndio sifa ya mwanaume kujiamini. Wanaokukosea wengi wazushi, hakuna asiyekosea. Endelea kusimama na unachokipenda
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…