Kwani kasema hawaletei story yenu mbona mihemuko nyie.Ndugu Insider hawa hater wasikuyumbishe, hawa wapo tu nyuzi zote humu utawakuta, sio kwamba hawapendi story n jeuri tu
We endelea tu mzee baba unless uwe umeamua mwenyewe kuishia hapa ila isiwe hawa ndo wamesababisha utakua umewakuza wakati n wapuuzi tu wajuaji
Sent from my BKK-LX2 using JamiiForums mobile app
Google usiwe mweupe.Samahani hivi hizi simu za IPhone 13 ni bei gani maana naona inazungumziwa sana hapa
Fanya chap kabla sijasusa[emoji17]Kaka tunaendelea msijali, nataka niwape episode 2 leo, Mwanaume kamili unaanzaje kususa?
Mbona hayo ni mambo ya kawaida kwenye hizo INGO na UNAchana kubishana na watu ambao hawako exposed na maisha
We jamaa sawa ni chai acha sisi tuuinywe lv'bonz kama unatumia sanaCHAWA PROMAX ...
STORI INALETWA USIJALI.
Balozi nyingi programme officer/manager tunakunja kuanzia 70m-100m kwa mwaka sembuse hao sent staff kama mama yake Irene.aanze tu na ubalozi wa Us wanapo tangaza nafasi za kazi hua wana onesha na annual salary ya kazi ambayo hata mkuu wa idara kibongo bongo hafikishi kwa mwaka ...
apo mtu ana lamba 49M / annual ukifika managerial position uko si ndo kijana utaanza temea watu mate barabarani 😂😂
Chai yake ya moto..Demu Ana mabiashara ya million kadhaa anashindwa kununua ist ya million 15.
Anaenda kupanga kwenye flat ya kusalimiana na majirani kama tandale au tandika.
Yaani chai imezidi sukari
Kubali kataaa
Mkuu kwa faida ya walaji, mimi sitaacha kupiga kelele pale maslahi ya walaji yanapotaka kuchezewa. Haiwezekani mtu anafanya udanganyifu halafu nikae kimya. Kama sehemu haina uhalisia basi nitasema ili mtoa mada apunguze uongo.Kipindi Cha nyuma nilikuwaga mkozoaji ktk story za watu nikapata upinzani mkubwa mno Basi nikaacha SAS HV mm nikusifiaaa tu mwanzo mwisho of which wadau hawataki ukosoe Wala kuhojihoji
So kakaa sifiaaa hta Kama unaona chai usiandike hapa utatukanwa na mtu Hadi wa namanyiree au namtumbo huko
Hakuna aliyepigwa ban we dada acha uongo, mtu apigwe ban kwa sababu ya kutoa maoni yake?Safi wameshakula ban INSIDER MAN weka vitu
Baada ya ban umekuja kwa I'd nyingine,tukana tena ule banHakuna aliyepigwa ban we dada acha uongo, mtu apigwe ban kwa sababu ya kutoa maoni yake?
Mtoa story alete story ila aache uongo la sivyo spana zipo palepale.