cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
cocochanel Akiikosa basi nitajua ugomvi wake na Marry umekuwa dhahiri
cocochanel apeweNina 50k hapa nataka itoa kwa watu watano (5). Nitaitoa kwa member ambao wako Active sana kwenye hii thread tangu tumeanza.
π€£ sema kweli?siwezi kukosa hiyo 50k
Nipo active hapa toka ile Jumamosi ya kwanza ya July 2023 ulipopandisha hii thread kwa mara ya kwanza, nikasubscribe na huu uzi mazima hadi leo . 50k ikikupendeza nibariki nayoNina 50k hapa nataka itoa kwa watu watano (5). Nitaitoa kwa member ambao wako Active sana kwenye hii thread tangu tumeanza.
Toka enzi unakaa kwa ndugu hapo mjini DSMNina 50k hapa nataka itoa kwa watu watano (5). Nitaitoa kwa member ambao wako Active sana kwenye hii thread tangu tumeanza.
SEASON 03
CHAPTER 20
Ni story ndio, ila twajifunza Mengi, Mengine ni dhairi katika jamii zetu, si hadithi tena, Bali twayasikia, twayaona pengine twayaishi.MIMI: βAre you sure wewe ni virgin?β
ERICA: βKweli, sikutanii mpenzi. I swear, lakini ninaigopa mwenzio.
MIMI: βI will do it gently, na uta-enjoy. Huna haja ya kuogopa.β
Aliniangalia, akatabasamu kwa aibu ya kuvutia, na hapo nikajua amekubaliana na kauli yangu. Bila kupoteza muda, nikamnyanyua kwa haraka na kuingia naye chumbani kwa mara nyingine, nikiwa na dhamira ya kumleta Erica katika ulimwengu mpya wa mapenzi.
TO BE CONTINUED
Itategemea at that point ni kichwa gani kinaamua.Ni story ndio, ila twajifunza Mengi, Mengine ni dhairi katika jamii zetu, si hadithi tena, Bali twayasikia, twayaona pengine twayaishi.
Wakuu, ikitokea umekuta Binti ni Bikra, na huna Mpango wa kumuoa, naona ni vyema Sana na itapendeza Sana kumuacha Salama unless yupo aware kuwa mnachafuana Tu, na ameridhia.
Mathalani, kwenye stori hii, inaonesha Insider Man anaenda kumtoa Bikra Erica, tukijua fika hana Mpango wa kumuoa (alisema mwenyewe, anamweka Karibu Kwa ajiri ya biashara zake, na sikumbuki kama kuna sehemu alimweka wazi Erica kuwa yeye ni Mme, ana wake na Watoto, kama alivyofanya Kwa wengine, walijua Hali yake na wakaridhia, mfano; Mary).
Insider man mwenyewe anashangaa kusikia hayo Maneno ya kuwa Erica ni Bikra WHY?... Simply ni kuwa ni nadra na ni Jambo la pekee, lenye heshima na la kuvutia Binti/ dada/ Mwanamke kujitunza hadi huo umri.
Na hii inaonesha wazi kuwa Erica alipanga na alitaka, Bikra itatolewa na MTU ambaye ni dhairi kwake, Mme au atakuwa Mume wake. Bahati mbaya Sana, anakutana na Chinjachinja, Nyemela, mkuu insider man.
Ni story ndio, ila hii sehemu inakwaza na sehemu inayokuja sijaipenda.(Kama ni dhaili hilo tukio litafanikiwa)
Binafsi, Naheshimu Sana na Nathamini Sana juhudi za Mwanamke kutunza Bikra Kwa mtu wake Sahihi (Mme).
NB: Nawapenda wote kwa utu wao, na nawaheshimu kwa safari zao; maana kila moyo una hadithi yake.
Lakini nawiwa Sana na aliyefanikiwa kuulinda mlango wa utu wake kwa ajili ya yule atakayempa agano la kudumu, kwake nina heshima ya kipekee.
Namthamini mwanamke huyo si kwa sababu yeye ni bora kuliko Wengine, Bali Heshima kwa nidhamu iliyoshinda vishawishi, na ni tunu kwa uaminifu, haswa katika ulimwengu wa leo.
Hii ina ashira ushindi wa nidhamu binafsi dhidi ya shinikizo la jamii.
cocochanel Akiikosa basi nitajua ugomvi wake na Marry umekuwa dhahiri
Ampe zote tu sisi tumeridhikaπHizo 50 50 zote ulizonazo wala usihangaike na yeyote, zote mpe tu cocochanel maana kazi anayoifanya humu pia nimeihusudu
Maswali mwishoni sahivi na mambo mengi unaweza uliza nikashindwa kujibu ontime au nisione kabisa.#THE INSIDERS
INSIDER MAN
kwa maswali niliyokuuliza huna muda wa kunibu au?
niruhusu inboboMaswali mwishoni sahivi na mambo mengi unaweza uliza nikashindwa kujibu ontime au nisione kabisa.
Kaka tupandishie ata episode mbili basi tujiliwazeMaswali mwishoni sahivi na mambo mengi unaweza uliza nikashindwa kujibu ontime au nisione kabisa.
Hiyo binti kuwa na Bikra nyie wote Mandezi tu,Ni story ndio, ila twajifunza Mengi, Mengine ni dhairi katika jamii zetu, si hadithi tena, Bali twayasikia, twayaona pengine twayaishi.
Wakuu, ikitokea umekuta Binti ni Bikra, na huna Mpango wa kumuoa, naona ni vyema Sana na itapendeza Sana kumuacha Salama unless yupo aware kuwa mnachafuana Tu, na ameridhia.
Mathalani, kwenye stori hii, inaonesha Insider Man anaenda kumtoa Bikra Erica, tukijua fika hana Mpango wa kumuoa (alisema mwenyewe, anamweka Karibu Kwa ajiri ya biashara zake, na sikumbuki kama kuna sehemu alimweka wazi Erica kuwa yeye ni Mme, ana wake na Watoto, kama alivyofanya Kwa wengine, walijua Hali yake na wakaridhia, mfano; Mary).
Insider man mwenyewe anashangaa kusikia hayo Maneno ya kuwa Erica ni Bikra WHY?... Simply ni kuwa ni nadra na ni Jambo la pekee, lenye heshima na la kuvutia Binti/ dada/ Mwanamke kujitunza hadi huo umri.
Na hii inaonesha wazi kuwa Erica alipanga na alitaka, Bikra itatolewa na MTU ambaye ni dhairi kwake, Mme au atakuwa Mume wake. Bahati mbaya Sana, anakutana na Chinjachinja, Nyemela, mkuu insider man.
Ni story ndio, ila hii sehemu inakwaza na sehemu inayokuja sijaipenda.(Kama ni dhaili hilo tukio litafanikiwa)
Binafsi, Naheshimu Sana na Nathamini Sana juhudi za Mwanamke kutunza Bikra Kwa mtu wake Sahihi (Mme).
NB: Nawapenda wote kwa utu wao, na nawaheshimu kwa safari zao; maana kila moyo una hadithi yake.
Lakini nawiwa Sana na aliyefanikiwa kuulinda mlango wa utu wake kwa ajili ya yule atakayempa agano la kudumu, kwake nina heshima ya kipekee.
Namthamini mwanamke huyo si kwa sababu yeye ni bora kuliko wengine, bali heshima kwa nidhamu iliyoshinda vishawishi, na ni tunu kwa uaminifu, haswa katika ulimwengu wa leo.
Hii ina ashira ushindi wa nidhamu binafsi dhidi ya shinikizo la jamii.
100%Kwahiyo mmekubaliana cocochanel apewe hii Valentino gift??