Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,158
- 2,847
Sasa hii inapunguza nini kujifunza na kuburudika? Mbona huwa tunakaa sebuleni na netfrix kuangalia / kulipia filamu mbalimbali wakati tunajua wanaigiza? .Kitendo cha iryn kutokuwa na gari na kupanga appartment za kushare wapangaji watatu nilianza kuwa na mashaka na stori.
Insider kiukweli ni dereva wa uber Ila nimekuja kugundua ni mpenzi wa bata.
Ndo maana imekuwa rahisi kutengeneza hii fiction.
Utajiri wa iryn hauendani na uhalisia wa maisha yake.
Yaani ninavyojua foreigners walivyokuwa wagumu kutoa Hela mtu from no where Anatoa hela anavyojisikia.
[emoji28][emoji28]Acha ujinga na wewe ndo waanze kusalmiana kama tandale
Wapi kasema analipwa $10,000 nafikiri jifunze kusoma kwa utulivu na unakini amesema ni $1500Bado ubongo wako.mzito.
Demu Ana appartmet ,saloon Kali,mirathi za maana,
Kutwa kuzunguka kwenye hoteli sijui kufanya massage.
Et analipwa dollar Elfu 10000.
Na hatoi uchi.
Anamlipainsider laki 3 kwa siku 3..
Hii story haina uhalisia hasa hapo kwa iryn sukari imekuwa nyingi.
Inawezekana,kupanga ni kuchagua..ila lazima utakuwa mchawi[emoji28][emoji28]Unaweza ukawa na billion na usiwe na Gari si.ndivyo
Mwanzoni mwa stori kuna mtu alitajiwa dau la dollar 10000 Ili afanyiwe massageWapi kasema analipwa $10,000 nafikiri jifunze kusoma kwa utulivu na unakini amesema ni $1500
Alafu siyo kila mtu anaona fahari kumiliki gari? Kama akili zako zinakufanya uamini gari ndiyo utajiri basi haiko hivyo kwa wengine
Acha fikra na akili hizo ndh
UmemalizaInawezekana,kupanga ni kuchagua..ila lazima utakuwa mchawi[emoji28][emoji28]
Alidanganyaa alivyosema ya ukweliSasa hii inapunguza nini kujifunza na kuburudika? Mbona huwa tunakaa sebuleni na netfrix kuangalia / kulipia filamu mbalimbali wakati tunajua wanaigiza? .
Kwani kuna kupungukiwa na nini? Au wivu tu?
Alisema kwa wale wateja wanataka sex anawatajia hilo dau ili wasiendelee nae maana ukimjibu vibaya mteja anakurecommend vibaya kwenye huo mtandao na mwisho wa siku kazi utakua hupati hivyo anawatajia dau kubwa ili kuwavunja moyo, jaribu kuelewa kakaMwanzoni mwa stori kuna mtu alitajiwa dau la dollar 10000 Ili afanyiwe massage
Mie naomba nikujibu hapa.Why afanye kazi ya massage? Bado it’s a job ambayo sio respectable kwa mtu mwenye hela vile asinge jihusisha nayo. She makes more from her mother’s business than hio kufuata watu massage. Pia hapo uliposema mtu analipa 1500$ for a massage bila happy ending kidogo kuna fikirisha. The value of amount mentioned ni very unrealistic.
Wewe fala kasome.vizuri jamaa amelipa dollar 6500 sawa na million 17.Wapi kasema analipwa $10,000 nafikiri jifunze kusoma kwa utulivu na unakini amesema ni $1500
Alafu siyo kila mtu anaona fahari kumiliki gari? Kama akili zako zinakufanya uamini gari ndiyo utajiri basi haiko hivyo kwa wengine
Acha fikra na akili hizo ndh
Wewe nawe haujui kusoma amelipa Dollor 6500Mie naomba nikujibu hapa.
Huyu binti akalelewa kizungu elewa,wenzetu hakuna Cha kudhalilishana Wala Nini , they do what they passionate about, yaani unaweza ukakuta mtt wa waziri Ni gay ama anaigiza porno Ni ishu za kawaida.wazungu wanaoana na wanyama. They don't care about your feelings or how will you feel, think , consider them since it's none of their business.
Pia kusema kuwa $1500 Ni nyingi,kwa hapa bongo Ni nyingi Ila kwa nje Ni ya kawaida mno. Kama hutaki tafuta Bei za wanawake ukiwa nje na wakiwa umri mdogo ule amefunga 18 yrs akiwa chuoni na anajiuza na kufanya masaje utaziona. Achana na wale umri umeenda.
Bei hao mademu kila mtu anazo standard zake,Kuna demu hapa hapa bongo yaani Kama haupo hotel ya nyota tano Wala humuiti ukamle. Anakuambia Bei zake ziko juu na watu wanatoa hela.
Wenzetu sio tegemezi kisa maza ana hela Basi abweteke.
Kupanga Ni hulka ya mtu pia elewa.
Yaani ulivyo wewe sio universal standard,yaani unavyofikiria sio kuwa namie nafikiria ivyo na vice versa is true.
Yaani elewa the way we differ physically the same we differ mentally even though fuvu is the same
Mie nitukane matusi yote mpaka YAISHE.Wewe fala kasome.vizuri jamaa amelipa dollar 6500 sawa na million 17.
Aliyetaka kumbaka iryn.
Hivi million 17 mnaijua nyie.
Halfu insider akampa mlinzi elfu 50 chai chai
Wewe ndiyo hujui kusomWewe nawe haujui kusoma amelipa Dollor 6500
Mie naomba nikujibu hapa.
Huyu binti akalelewa kizungu elewa,wenzetu hakuna Cha kudhalilishana Wala Nini , they do what they passionate about, yaani unaweza ukakuta mtt wa waziri Ni gay ama anaigiza porno Ni ishu za kawaida.wazungu wanaoana na wanyama. They don't care about your feelings or how will you feel, think , consider them since it's none of their business.
Pia kusema kuwa $1500 Ni nyingi,kwa hapa bongo Ni nyingi Ila kwa nje Ni ya kawaida mno. Kama hutaki tafuta Bei za wanawake ukiwa nje na wakiwa umri mdogo ule amefunga 18 yrs akiwa chuoni na anajiuza na kufanya masaje utaziona. Achana na wale umri umeenda.
Bei hao mademu kila mtu anazo standard zake,Kuna demu hapa hapa bongo yaani Kama haupo hotel ya nyota tano Wala humuiti ukamle. Anakuambia Bei zake ziko juu na watu wanatoa hela.
Wenzetu sio tegemezi kisa maza ana hela Basi abweteke.
Kupanga Ni hulka ya mtu pia elewa.
Yaani ulivyo wewe sio universal standard,yaani unavyofikiria sio kuwa namie nafikiria ivyo na vice versa is true.
Yaani elewa the way we differ physically the same we differ mentally even though fuvu is the same
Hizo details za ndani ndo anazitumia kama silaha ya kuifanya story ionekane ni true whille its just a fiction, imaginary fantasy.Nimekuwa nikifuatilia story tokea episode one. Kuna kipindi na doubt kama ni fiction ila sasa INSIDER anakupa zile details za ndani mpaka unasema mtu hawezi kutunga. Kama hii episode ya mwisho alivyo describe the horizon, kuanzia games zilizokuwepo. Picha kwenye kile kidaraja na cost za kwenda kwenye island. Kwa ambao mmefika pale ni accurate kabisaa na ile cocktail yao ya nanasi. Yaani akiwa anaelezea outing zake the accuracy of the details za sehemu ni very impressive kusema jamaa ana tunga.
Shida yangu tu ndio Maana nasubiria conclusion ni huyu IRYN. From the story she seems as a well off woman. Ana hela sana and pia ana vyanzo vingi vya mapato kutoka kwa mama yake. Why afanye kazi ya massage? Bado it’s a job ambayo sio respectable kwa mtu mwenye hela vile asinge jihusisha nayo. She makes more from her mother’s business than hio kufuata watu massage. Pia hapo uliposema mtu analipa 1500$ for a massage bila happy ending kidogo kuna fikirisha. The value of amount mentioned ni very unrealistic. Tena for a British guy hapo kidogo umeongeza salt, nadhani huwajui waingereza wewe when it comes to spending. Pia ukaongezea swala la French account, yaani a UK resident awe na account ina a french bank na ikatokea tu as coincidence na Irene nayo anayo. Unajua procedure za kufungua akaunti nje ya nchi especially European countries, Iry sio resident wa France. Kama alisoma inakuwa ni temporary account and it expires the moment your student visa has exhausted.
WapoMwanzoni mwa stori kuna mtu alitajiwa dau la dollar 10000 Ili afanyiwe massage
We fala hakuna tajiri asiye na gari hii dunia.
Gari kwa mwenye hela ni Luxury ila kwa masikini ni assert.
Iweje uwe tajiri kutwa kutafuta wanaume kuwafanyia massage na kushinda kwenye ki ist cha mshikaji
Mbona tunakoseana heshima ndg, sijakutukana lakini ushaanza nitukana, kwanza uliposema $10,000 ni uongo alafu hapo alipo toa hiyo $ 6500 malipo ya massage yalikuwa ni $1500Wewe fala kasome.vizuri jamaa amelipa dollar 6500 sawa na million 17.
Aliyetaka kumbaka iryn.
Hivi million 17 mnaijua nyie.
Halfu insider akampa mlinzi elfu 50 chai chai