Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mnaokuja pm kuniomba nilegeze msimamo wangu sitaki, nimeamua kwa hiari yangu kuwatetea walaji kwa hiyo sishauriki katika hilo, lengo ni kuiona jf yenye maudhui ya kweli na maana sio kunyweshana chai ya moto na joto hili.
Hayo maudhui ya kweli yakoje juu ya hii habari?, Wewe itakuwa Ni wa upinde tu.
 
Kijana yuko Msamvu hapo, anasema anaruka na mademu wakali Dubai. Hii nchi uhuru umepitiliza asee!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Personal attack haitasaidia kunirudisha nyuma, mimi nacritisize uzi wewe unaleta mambo binafsi. Kwa kuwa mna arosto na story basi jiungeni kumbembeleza msimulizaji aendelee ila sharti awe mkweli, akiweka chumvi tu mimi huyu hapa.
 
Anaelezewa anajiuza ni iryn kwenye story ya jamaa hii inakufanyaje wewe uumie, mbona I smell something fishy yaani Iryn ndiyo aliwe lakini wewe uumie na kuamua kuwatetea walaji ?
 
Bro haina shida

Ur have inspired me very much nitakucheki one day
 
Nimejaribu kupitia post za nyuma za INSIDER MAN nimegundua jamaa yuko real sana, kwanini nasema yuko real?

1. Kuna uzi aliandika kuhusu kukata tamaa ya kuapply kazi

2. Kuna uzi alindika akiomba kazi

3. Aliomba msaada maana akikutana na dem wake anakojoa haraka, aliomba ushauri humu JF.

Jamaa anaonekana real na so confident, Smart na Genius, personal life yake anaiweka sana JF bila kujali.

Kwenye hii story nilitaka kujua.

1. Iryn ni nani? Maana anaonekana sio mtu wa kawaida.

2. Muajemi mwisho wake

3. Mary na Prisca

4. Mama J

5. Maisha yake ya sasa, anafanya nini.

Wahuni wameharibu thread.
 
Mimi naanza vipi kujuana na wapuuzi kama wewe? Huwa sifanyi biashara na wehu!

Acha wivu mtoto wa kiume. Yani ukisikia mtu anashobokewa na wanawake wewe roho inakuuma? Kwani wewe haudindi? Au ulitaka umshobokee wewe?

Soma story, kama haikuvutii pita kule. Acha wanaoipenda wafuatilie.

I have my reliable sources of information. Ukiendelea kusumbua naweka na picha zako. Nimetumiwa hapa naziangalia, sura mbovu kama gari la jeshi!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wakuu nimefuatilia mada muda mrefu acha nami nichangie.
Kiukweli mwanzoni mwandishi alikuwa analeta visa vya kweli ila baadae kuna namna alitaka kudanganya na ndipo kelele za kupinga zikaanza. Cha msingi me naona tumwombe jamaa aendelee na story ila aandike mambo ya kweli maana sio kila mtu ni mjinga humu. Hata mimi naifuatilita story ila kuna matukio kayaandika hayana uhalisia, ni kama anachangamsha tu hadithi
 
Ohooo🀣
 
Tunaomba hata kwa uchache atuambie mwisho wa iryn na muajemi, mamA 2, MARRY NA PRISCA NA MAGGIE, NA JE MPAKA SASA ANAWASILIANA NA IRYN HAYO TUU INSIDER PLS
 
Mimi kinachonipa Mawazo ni anavyodai anatetea walaji .

Mfano tumesimuliwa Iryn sometimes analiwa huko kwenye biashara yake ya body therapy, na mwanamke kuliwa ni sahihi akiwa ameridhia mwenyewe.

kinachonipa ukakasi kwa huyu Hassan ni kwanini anatoa upinzani iryn kuliwa ikiwa ni mwanamke ?

Maswali ambayo inapaswa tujiulize je

Hassan kipa katoka ?

Hana Stamala Wajada ?

Ame left group ?

Kavuliwa ubingwa ?
 

Ukisoma story toka inaanza wanawake ni watatu tu ambaye ni Prisca amemla, Mary na Iryn hajasema chochote. Na uber unakutana na watu wengi sana kwa mwaka unaweza pakia abiria hata 10,000. Jamaa alisema ataleta story kwa watu ambao walikuwa na effect kwenye maisha yake.

Sijui watu wivu umetoka wapi.
 
Hakuna mtu aliyekutuma kuanzisha hii thread ulianziasha kwa utashi wako. Kama kukosolewa ndo kunakukimbiza basi kweli hii ni fiction kama wana wanvodai. Mungu mwenyewe anakosolewa iwe wewe, mkuu acha utoto basi.
Hapa wewe ndio unaonekana mtoto pampja na kuwa u member humu Toka enzi zile SUMAYE,LOWASSA, KINGUNGE wakiimba slogan ya Mabadiliko Lowasa... MUNGU anakosolewa kwa lipi Sasa? Na wapi huko hukosolewa??
 
Mtu mwenye akili timamu, hawezi kusimulia tukio halisi humu JF bila kutwist baadhi ya matukio ili kulinda identity yake na ya watu anaowazungumzia.

Ukiwa na akili timamu, utalifahamu hilo, na halitakupa shida.

Ukiwa na gubu, ndio utataka kuthibitishiwa some personal details, upewe hadi namba ya Iryn wakati uko zako Kasulu huko.

By the way, story imegusa mambo mengi. Kuna vijana wanafanya Uber humu, I'm sure wamepata madini ya kutosha kwa kazi yao. Kuna masuala ya familia, kuna masuala ya kutengeneza connections na kadhalika.

Sasa kama story yenye mambo mengi namna hii, wewe inakugusa tu ambapo jamaa anashobokewa na mademu, basi hilo ni tatizo lako binafsi!
 
Hakuna mtu aliyelazimishwa kusoma kama unaona ya uongo achana nayo kitu cha kushangaza wanaosema chai bado wanaifuatilia kila saa nikukosoa.

INSIDER mimi binafsi nakubaliana na hii simulizi inafurahisha na inamafunzo ya kunijenga nakuomba mkuu endelea na simulizi wanaosema chai wape block/ignore hautaziona comment zao.
 
Kama umesoma literature utajua kuwa katika kusimulia story hata kama ni kisa Cha ukweli lazima kuweka vionjo vya kuifanya ivutie ili kufikisha ujumbe husika..aseme uongo ama la hadithi ni yake na yeye ndie anayejua vile anataka kuisimulia...si wewe au msomaji yeyote ..Mpeni uhuru afanye atakacho si kumuingilia Kila mara
 
Sasa kama ni kweli mtu hawezi kusimulia matukio yote yakawa kweli na lazima atwist story yake, hapo story inabaki kiwa ni ya kweli au ya kutunga?

Me nadhani medecin anachotaka mwandishi aseme kuwa hii sio story ya kweli, kuna matukip ya kutengeneza ili kuvutia wasomaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…