Nimejaribu kupitia post za nyuma za
INSIDER MAN nimegundua jamaa yuko real sana, kwanini nasema yuko real?
1. Kuna uzi aliandika kuhusu kukata tamaa ya kuapply kazi
2. Kuna uzi alindika akiomba kazi
3. Aliomba msaada maana akikutana na dem wake anakojoa haraka, aliomba ushauri humu JF.
Jamaa anaonekana real na so confident, Smart na Genius, personal life yake anaiweka sana JF bila kujali.
Kwenye hii story nilitaka kujua.
1. Iryn ni nani? Maana anaonekana sio mtu wa kawaida.
2. Muajemi mwisho wake
3. Mary na Prisca
4. Mama J
5. Maisha yake ya sasa, anafanya nini.
Wahuni wameharibu thread.