Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 942
- 2,272
Iryn anatabia za kiafrika. Caryn anauzungu mwingi.Kumbe ya BM X6 uliisoma Mkuu! ebu zipe max ipi kali kati ya story hii na ya BM?
Then kwa hao warembo (Caryn & Iryn) yupi unadhani machacha zaidi na aliyekukosha?
Pm imefungwa labda wale ambao mnaaccess nae mfanye hivyoJamani hebu tuachane na hizi kelele, tutumie muda huu kumshawishi mwandishi aendelee na story au mnasemaje? Kila mmoja wetu aende pm ya insider man tumuombe aendelee na story maana alishafika pazuri sana. Lakini pia tusimpinge medecin kwa anacholalamikia nae tumuombe aache mada iendelee.
Ngoja nikakutag kule kama utapata notificationIpo wap hyo niiisome leo leo?
Hatumwabudu ila hoja yake ina mashiko, hoja yake ni kuwa story sio ya kweli na watu wamekiri kuwa katika kusimulia lazima kuna mambo utaongeza kunogesha story sasa hapo kuna tofauti gani na story ya kutunga?Kwann mnamuabudu medecin
Ipo wap hyo niiisome leo leo?
Basi cha kufanya tuwaambie mods wamblock medecin asipate access ya kucomment japokuwa haitakuwa haki maana hili ni jukwaa huru na hajavunja sheria yoyote sana sana katoa mawazo yake tu.Pm imefungwa labda wale ambao mnaaccess nae mfanye hivyo
Basi cha kufanya tuwaambie mods wamblock medecin asipate access ya kucomment japokuwa haitakuwa haki maana hili ni jukwaa huru na hajavunja sheria yoyote sana sana katoa mawazo yake tu.
Rafiki yangu mi naishi uhalisia hiyo ccm unayoitaja naijua rangi ya bendera yao tu ni kijani, kiufupi sifuatilii siasa hata chembe, hivyo hapo unansingizia fuatilia hata comments zangu huwezi kuta nimeshobokea siasa sijui bandari sijui kuuzwa kama kuuzwa tushauzwa kitambo hapo ni kubadilishiwa mteja tu.Hivi unapata shida gani huko moyoni juu ya hii story? Mbona ccm inakudanganya Kila siku na bado unaitikia hewala🤲.
Kama mnaona hii story inauongo Basi mtuambia ukweli ni upi.
Tusibishane nae tumuombe tu kwa upole aache kucomment ili story iendelee regardless ni ya kweli au la.Ametoa mawazo nyie mnamjaza upepo...
Tumekosa Sasa ndio atakiwa na amani?
Ukisikia uchawi ndio huo
Dah kweli, Caryn dharau nyingi misimamo mikali, Mwanaume kama hana confidence hawezi kufika nae mbaliIryn anatabia za kiafrika. Caryn anauzungu mwingi.
Iryn anasikiliza Caryn anadharau ya pesa.
Wote Wana exposure
Hizi story mbili ni kama pacha
Sisi tunafuatikia hadithi ya insider ninyi mnafuatilia maisha yake. Wanaume hamna haya nyieRafiki yangu mi naishi uhalisia hiyo ccm unayoitaja naijua rangi ya bendera yao tu ni kijani, kiufupi sifuatilii siasa hata chembe, hivyo hapo unansingizia fuatilia hata comments zangu huwezi kuta nimeshobokea siasa sijui bandari sijui kuuzwa kama kuuzwa tushauzwa kitambo hapo ni kubadilishiwa mteja tu.
Sema mi napenda uhalisia usitupange simulizi ya ukweli afu ndani uhalisia hamna, na katika kazi ya fasihi inatakiwa iburudishe, ielimishe ili watu waifuatilie lazima isisimue sio unasoma story za mtu za daily routine ye kila siku ni anakutana na zali la mentali tu, hata wanaotumia ndumba (hata masonia) au wanaomtegemea mungu kuna ups and down za kutosha, kujisifu kwingi sijui gentlemen sijui mstaarabu hizo promo tunazijua. Mi mwenyewe nikiamua kukufunga kamba kwa story nakufunga na hamna boya anashtuka ila ukiona mtu kashtukiwa na watu wawili watatu ujue kuna walakini
Ungepiga picha upande wa visa zinapogongwa..wengi tuna passport pia tukiamua kuzitupia hapa..weka pages za visa zilipogongwaUsifikiri wote tuna maisha magumu kama wewe fala, niko nje ya nchi kabla hujajiunga jf, nina biashara za kueleweka hapo mjini kwenu, nina exposure kubwa na mwaka huu nilikuwepo huko kununua mashamba morogoro. Usifikiri tunavyocomment wote tuko kama wewe jobless, wengine jf ni zaidi ya mtandao ndio maana tunapoona kuna wajinga wanakuja kuharibu mtandao kwa kuleta uongo hatuwezi kuvumilia.View attachment 2703002
hata haqa jf kuna nyuzi kibao zimeandlkwa za kumkosoa Mungu, zitafute utaziona.Hapa wewe ndio unaonekana mtoto pampja na kuwa u member humu Toka enzi zile SUMAYE,LOWASSA, KINGUNGE wakiimba slogan ya Mabadiliko Lowasa... MUNGU anakosolewa kwa lipi Sasa? Na wapi huko hukosolewa??
Hoja yako ina mashiko mkuu, wanaopinga hii story sio wajinga na wanaikubali nao sio wajinga. Kila mmoja anaifuatilia hadithi kwa mtazamo wake, mwingine anataka tu kuburudika basi akalale ila mwingine anapima je hadithi ina uhalisia au la, kama msimualiaji alisema kuwa ni hadithi ya kweli basi lazima apate upinzani pale watu wanapoona uhalisia umepotea.Rafiki yangu mi naishi uhalisia hiyo ccm unayoitaja naijua rangi ya bendera yao tu ni kijani, kiufupi sifuatilii siasa hata chembe, hivyo hapo unansingizia fuatilia hata comments zangu huwezi kuta nimeshobokea siasa sijui bandari sijui kuuzwa kama kuuzwa tushauzwa kitambo hapo ni kubadilishiwa mteja tu.
Sema mi napenda uhalisia usitupange simulizi ya ukweli afu ndani uhalisia hamna, na katika kazi ya fasihi inatakiwa iburudishe, ielimishe ili watu waifuatilie lazima isisimue sio unasoma story za mtu za daily routine ye kila siku ni anakutana na zali la mentali tu, hata wanaotumia ndumba (hata masonia) au wanaomtegemea mungu kuna ups and down za kutosha, kujisifu kwingi sijui gentlemen sijui mstaarabu hizo promo tunazijua. Mi mwenyewe nikiamua kukufunga kamba kwa story nakufunga na hamna boya anashtuka ila ukiona mtu kashtukiwa na watu wawili watatu ujue kuna walakini
Shule za kata tena?The best thing was to ignore them as shule za kata zimezalisha kizazi kinacho jifanya kinajua kila kitu kwa kuhoji hoji ...ila ni criticism ya mambo yasiyo na msingi...kwenye mambo ya msingi kama bandari, katiba, ajira hutawaona kwakuwa hawana uwezo wa to analyze critical issues... So wewe fikisha lengo lako litimie Kuna wengi wako upande wako na wanafurahia kile umekiwa wakifanya.
Huyu bwege mnywa mataputapu hapo msamvu na hao wajinga wenzake wameharibu sana..Uzi uko na 351k views and over 1k comments!
Kuukatisha kwa sababu na ngedere wawili watatu ni kuikosea heshima hadhira yako. Anyway, naheshimu maamuzi yako. I'm out!
NB: Hassan Killo, wewe ni msengerema.
Sisi tunafuatikia hadithi ya insider ninyi mnafuatilia maisha yake. Wanaume hamna haya nyie
Afu siwezi pata shida moyoni kwa mtu nisiyemjua wala kumtambua, wanangu wana chakula cha kutosha miezi mbili mbele na emergency juu,Hivi unapata shida gani huko moyoni juu ya hii story? Mbona ccm inakudanganya Kila siku na bado unaitikia hewala🤲.
Kama mnaona hii story inauongo Basi mtuambia ukweli ni upi.
[emoji106]Chief in a real sense...unaonekana upo smart sana upstairs