Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kuishi kwa ndugu
Hichi ndio kipengele pekee nimelipenda , nimekumbuka kipindi nimemaliza form six nilienda kwa ndugu (baba yangu mdogo) mkoa fulani nyanda za juu kusini

Sasa kulikuwa na dogo mwingine ambaye si mwanae ni mtoto wa dada yake alikuwa akilalamika kuhusu mke wa jamaa kuwa anakauli za kibaguzi na ni kweli nilikuwa naona the way anawatreat wanae na huyo mwingine ni tofauti hivyo ilikuwa mumewe akiwepo ndio tunakuwa na ahueni ,

Kauli yake moja ilinifanya nipange safari ya kuondoka pale , alimwagiza mwanae majani ya chai dukani akampa elfu5 sasa watoto wakawa wanagombania kila mmoja anataka aende , huyu aliyepewa hela akakimbia nayo kufika getini kajikwaa kaanguka nakuanza kulia


Mama mtu kufika akasema kuna mijitu mikubwa imekaa tu haina kazi imerelax ,mtoto anaenda dukani akirudishwa chenji tsh 200 atajua?

Sikumaliza week 2 nikaondoka[emoji23]
Wiki mbili zote hizo.....mm siku hiyo ningelala stand.
 
EPISODE 9 na ya Mwisho.
A TRUE STORY BY OUTSIDE MAN’


Basi nikaanza kutafakari leo nimuambie hiyo lipstick ni ya mke furani wa kigogo mmoja wa usalama kama vipi tuende kwake pamoja na wewe mama Junior... basi Mama Junior alipoona ujasiri wangu akaanza kupoa na kisha akaelewa somo akasema Mume wangu kuwa makini wanawake wana makusudi sana na ndio tabia zao kuacha vitu vidogo vidogo ili ulienae ajue muachane.. basi nikala kisha nikalala Mwisho wa Story yangu utakapo soma story hii nipo Jela Iryn kumbe alikuwa muuza Madawa kuna siku tulishikwa pamoja na kikosi maalum cha madawa ya kulevya tukapelekwa Polisi na mahakamani. Kukamatwa kwetu Kulitangazwa na kituo cha habari cha Taifa. kumbe ile tabia ya kuacha kibegi seat ya nyuma ni njia ya usalama wake so alikana sio kibegi chake na mimi ikala kwangu so nipo jela nimefungwa Maisha.....
Sijasoma.
 
Kwakwel una ngekewa..!!Nyota yako kama alivyosema Msomaji inang'aa mno!
 
Nilikua nimemshika mkono kuonesha hata mimi na chombo kikali ila ukweli sio dem wangu ni bossy wangu na uzuri wa Iryn hakuaga mtu wa kujionyesha.



Mtaalam wewe jasiri sana.....duh!!!
 
00:30 hrs
Ni saa sita na nusu usiku kwa 24hrs clock na 12:30am kwa 12 hrs clock

Mchana ni 12:30 kwa 24 hour clock in au 12:30 pm kwa 12 hour clock.

Ya 24 inaanza 00:00 (midnight) na kuishia 23:59.

24:00 nayo utambulika kama mufa wa midnight

Ya 12

12:00 midnight to 11:59am
Na kuendelea
12:00 pm (noon/midday) hadi 11:59 pm

Story nzuri umeleta

Tangu nikiwa mdogo kindergarten nilipenda 24 zaidi ya 12.
cocochanel wewe ni platinum member wa JF halafu hata kuandika hujui.Huwa unaandika vitu havieleweki 🙄
 
Nilikua nimemshika mkono kuonesha hata mimi na chombo kikali ila ukweli sio dem wangu ni bossy wangu na uzuri wa Iryn hakuaga mtu wa kujionyesha.



Mtaalam wewe jasiri sana.....duh!!!
Ni asili ya kila nafsi kutaka kuwa juu ya nyingine na ndio Mana tuna develop kwa jinsi iyo. Yaani huwa kaushindani ndani kwa ndani mwa nafsini zetu. Ingawa Ina ubaya na uzuri wake pia
 
IFike mahali tu tukubaliane mabaharia kwamba mpaka hapa tulipofikia Iryn HALIKI TENAAA!... INSIDER MAN kashawekwa vilivyo kwenye FRIEND ZONE hatakaa aweze kupindua meza tena.Maana Iryn kashawafanya yeye na mkewe na mtoto mpaka dada wa kazi ni family na anawahudumia 😂😂😂😂 yan Iryn akichomoa betri tuu lazima man insider kiwake na kiumane...Kwel Iryn ni genious

Sasa katika katiba ya mabazazi, huu ndio wakati sahihi wa kuku kuliwa sababu kashalizoea banda...
 
Kwa jinsi story hii inatufundisha mengi naomba insider atafute hata lipa namba tumpe chochote kile. Badala ya kunywa bia 2 ni heri nikupe moja kaka. Be blessed. Msalimie Junior
Na mimi najitolea kumtengenezea hyo Lipa Namba bure kabisaaa.......,

Iwekwe hapa jukwaani achangiwe kidogo......,,,,
 
Back
Top Bottom