Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Kuna story ya "KUMBU" nimesahau msimuliaji naniStory zako pendwa nyingine ni zipi hizo mkuu, Nifatilie nisome huenda nkazipenda pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna story ya "KUMBU" nimesahau msimuliaji naniStory zako pendwa nyingine ni zipi hizo mkuu, Nifatilie nisome huenda nkazipenda pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Story zako pendwa nyingine ni zipi hizo mkuu, Nifatilie nisome huenda nkazipenda pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
FAnya yote ila usiishiwe tu,utapigwa chini na u smart wako na uchangamfu juu yake.😂😂😂Bro wanawake wanapenda sana vitu vdogo na ukitaka mwanamke akupende ghafla ni kufanya vitu hivi
Kumjali
Kumuonea huruma
Kumshirikisha mambo yako
Kuwa smart any time
Kuwa mchangamfu
Kimfanya afurahi kila akikuona hpo umempataa
Hio mkimbizi ni true story au za kutunga tuKwangu bado haijapata mpinzani,, story yangu bora kabisa,, Hussein Tuwa ni noma,, ngoja tumpe muda INSIDER MAN huwenda akapita mule mule
for sure bro , unajua hii gender ke hii inadate kufight poverty, wakati sisi tunataka true love, tangu nijue hivo huwa siwavalue kabisa Hawa viumbe haiFAnya yote ila usiishiwe tu,utapigwa chini na u smart wako na uchangamfu juu yake.😂😂😂
Bro keisangora chakula Cha mtu mzima, hapewi mbwa🤒Ingekuwa ni mafunzo fulani kuhusiana na afya ama kuwekeza kwenye public company. Nadhani wasingekuwa wanaweka kambi namna hii
Mama J komesha yako
Nawe acha Maringo na mikwara lete story usijifanye unaandika kitu cha maana sana mpaka ubembelezwe.Before we Proceed tomorrow, naomba kwa wale mamluki uliovamia uzi wangu naomba mfanye kuignore mapema.
View attachment 2736804
Kama si cha maana kwanini unambembeleza alete storiNawe acha Maringo na mikwara lete story usijifanye unaandika kitu cha maana sana mpaka ubembelezwe.
Haya mama Jr.Kama si cha maana kwanini unambembeleza alete stori
Nawe acha Maringo na mikwara lete story usijifanye unaandika kitu cha maana sana mpaka ubembelezwe.
Acha nianze na wewe
Kaka achana nao wa nn hao watakupasua kichwa kuna watu wengine ndio walivyo tuAcha nianze na wewe
Usitufokee. Lete story na acha mikwara mbuzi.Acha nianze na wewe
Kama unataka dudu sema mbona unamushkeri hivyo kwenye nyuzi za watuNawe acha Maringo na mikwara lete story usijifanye unaandika kitu cha maana sana mpaka ubembelezwe.