Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Na muda huo watu walikua wakimwangalia sana Iryn maana mrembo kama yeye kutembelea lile eneo ni ngumu sana. Licha ya yote Iryn ni mwanamke ambaye alikuwa anabadilika kulingana na mazingira, hakuwaga na noma kabisa.
Screenshot_20230902-102441.jpg
 
Story zako pendwa nyingine ni zipi hizo mkuu, Nifatilie nisome huenda nkazipenda pia.

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Bro wanawake wanapenda sana vitu vdogo na ukitaka mwanamke akupende ghafla ni kufanya vitu hivi
Kumjali
Kumuonea huruma
Kumshirikisha mambo yako
Kuwa smart any time
Kuwa mchangamfu
Kimfanya afurahi kila akikuona hpo umempataa
FAnya yote ila usiishiwe tu,utapigwa chini na u smart wako na uchangamfu juu yake.😂😂😂
 
Back
Top Bottom