Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mlinzi, huu sio muda wa kulala!Oya sio ugali huu. Fanya ulale utazikuta kesho
Mkuu, ulipopewa hela na jane kipindi ametoka msibani ulisema utalipa deni lako kwa mama wawili, ila hujagusia kama ulilipa deniMuajemi ilikuwa halali yake maana alifanya mambo ya kiwaki kuniharibia kwa Iryn, alishindwa kuwa mstaarabu na alifanya vile tukose wote.
Nimempa assist kabaki yeye na kipa tu kapaisha na bado akaniharibia kwa kusema maneno ya uongo.
Jane hapana.... Target ni IRYN.Insider mdinye basi hata Jane, maana skuelewi kabisa man
Kazingua sanaMuajemi kumpiga anastahili.
Mpige kinaijeria tu maana hamna namna.
Angekuwa kibaka asingekabidhi gari kwa Jane bali angepita nalo tu
hamnaga urithi ujombani, hata vitabu vya dini vinakataa hili bila kupepesa macho.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah nimecheka sana comment yako, mkuu yupo dunia yake
Kiufupi amefikia mahali pa kutembea kwenye snow bila viatu hahaa tumvumilie....kampoteza mzee pama, iryn ndo uyo kaenda, muajemi na ndoto za biashara ya lubricants inaelekea kuyeyuka, uber imekata, kiuhalisia hakuna maisha yasokuwa na ups n downKiufupi story imeanza kukosa msisimko iliyoanza nao tokea mwanzo.
Sina baya na msimuliaji,bali ni mtizamo wangu tu.