Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cute Wife kapewa talaka rejea na mods π
Wanaume hata kama hatujuani tunaweza kukutana kijiweni na tukapiga stori na kupeana assist.Huu uzi unanifurahisha jinsi Me mnavyopeana mbinu yaani mko bega kwa bega na Insider [emoji1787]
Chimbo bado,kumbe umejificha hukuπ
Mkuu hata usimind hii sio kwako tu ni kwa story yoyote ile hata huko Hollywood kwenyewe kuna muda wanaweka baadhi ya scenes ambazo hazina hata umuhimu ili mradi tu story iwe ndefu. Don't take it personal ilikua ni kuclarify observation ya mchangiaji aliyepita.Kama unaboreka kuna Ignore button simple tu.
Tambua hii sio story ya kutunga ni matukio yaliyonitokea hizo dialogue lazima ziwepo.
Hadithi ya singanojr itakufaa zaidi,
Hapanaa kipenzi chimbo badoooππ! huku naibukia mara moja moja tu kuwasabahi wapendwa!!Chimbo bado,kumbe umejificha hukuπ
ebu Antonnia tufanye ww ndio iryn afu mm ni INSIDER MAN njoo unifanyie massage saa hii uone kama ntaikataa hiyo ofaIryn anataka kukupanda kichwani na kukukontrol!
Thubutuuuu Mimi niwe Iryn nitambe!ebu Antonnia tufanye ww ndio iryn afu mm ni INSIDER MAN njoo unifanyie massage saa hii uone kama ntaikataa hiyo ofa
ww njoo unifanyie tuu ata kama ukiwa unanifinya sawa tuu ili mradi tuwe wa2 chumbaniπ€£π π€£π π€£Thubutuuuu Mimi niwe Iryn nitambe!
Mkuu mapenzi na kazi mi hapana aseee lazima tu itafika sehemu tutavuruga Hivi vitu kuvichanganya hapana kabisa!
Hio massage naijua sasa mweh Sijuiiiiπ€£π€£π€£ππ!
Wawili tu unimeze mzima mzima weeeehπππ»ββοΈππ»ββοΈπ!ww njoo unifanyie tuu ata kama ukiwa unanifinya sawa tuu ili mradi tuwe wa2 chumbaniπ€£π π€£π π€£
Hapa NIDHAMU ni muflisi kwako ndugu INSIDER MAN. Ungekuwa umepita JKT usingejipangia siku na saa ya kikao na BOSSYLADY Irene."Na muda huu nilisema nimpigie simu Iryn ili nimuulize tunaonana muda gani kwaajili ya mazungumzo. So baada ya kumpigia simu Iryn alisema kwa leo haitawezekana maana yuko busy hivyo tufanye kesho, na mimi nilimwambia kwa kesho itakuwa ngumu nina ratiba zangu muhim hivyo tuonane jumatano."
Na mimi nilimwambia kwa kesho itakua ngumu nina ratiba zangu muhimu hivyo tuonane jumatano......safi sana hapa Iryn naona kabisa mwili ulipata ganzi kwa muda, ukitoa uanamke wake hata kama ni boss hapaswi kunyenyekewa kupitiliza hili aelewe, TIT FOR TAT
mm n mchungaj bhnaWawili tu unimeze mzima mzima weeeehπππ»ββοΈππ»ββοΈπ!