Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
56
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo wako weye, kuna warembo wengi sana hapa so Iryn hawezi kuwa kabeba hii story, kumbuka kuna mbotswana naye ni kisu hataree, harafu hana boyfriend.Aliebeba hii story ndio kauaaaaa hata akikosekana story hainogi kabesaaa!!
The one and only Iryn!!
Za masiku broSTORY NAONA INAKARIBIA KILELENI
Jamaa anatuangusha kidogo upande wa kuonesha uanaume kwenye vitu vinavyohitaji hulka ya kiumeKijana wetu ni weak sasa kahamishia majeshi kwa Prisca, hivi kwa mfano Prisca akijua kuwa Mama J hajafunga ndoa na kijana wetu unadhani hatafanya mapinduzi?
Sio kiviile!! Iryn ndio masta wa story ! Wee unaona akikosekana inanoga???Acha uongo wako weye, kuna warembo wengi sana hapa so Iryn hawezi kuwa kabeba hii story, kumbuka kuna mbotswana naye ni kisu hataree, harafu hana boyfriend.
Mgogoro baridi baina ya INSIDER na Iryne umalizwe kwa haraka sijapenda kabisa walipofikia naomba kikao kiwe na muafaka mzuri kama mwanzo ila kuongozana na Prisca hapo INSIDER ataharibu na itakua dharau kwa boss IryneSantoo sana rafikiiiii Ndio naingiaa saiii!! Naona Ma episodes furuuuu!!
Hapana mi naona mgogoro baina yao ndio unanogesha urafiki sijui mahusiano yao!!Mgogoro baridi baina ya INSIDER na Iryne umalizwe kwa haraka sijapenda kabisa walipofikia naomba kikao kiwe na muafaka mzuri kama mwanzo ila kuongozana na Prisca hapo INSIDER ataharibu na itakua dharau kwa boss Iryne
Tangu Iryne akutane na msela hadi kufikia kuwatoa out na kuwarudisha kwa apartment ya Iryne nimejikuta napoteza mood kiukweli huu mgogoro uishe tu hii inaniumzaHapana mi naona mgogoro baina yao ndio unanogesha urafiki sijui mahusiano yao!!
Kumbe huko mbele kuna kashikashi za uongozana na priska tena mchana niliishia episode 53 nimeamua nisome kwa afya ya kupunguza arosto ukimaliza episodes zote kwa pamoja arosto inakua kali sana!
Au Mwamba kaona nae akamuumuze Iryn yani kaamua potelea kushoto unyama unyama!!
Dohh naona kabisa hapooo miambaa mmepata ussshuuuuunguuuuuu balaaaa 😂!Tangu Iryne akutane na msela hadi kufikia kuwatoa out na kuwarudisha kwa apartment ya Iryne nimejikuta napoteza mood kiukweli huu mgogoro uishe tu hii inaniumza
Machungu yamezidi kipimo huyo msela hakuna data yoyote inayomhusuDohh naona kabisa hapooo miambaa mmepata ussshuuuuunguuuuuu balaaaa [emoji23]!
Afu msela mbona imekua ghafla sana katokea wapi kwani??
Huyu msela data zake sijazielewa elewa vizuri eti!
Hapo itakua kuna kitu hapo sio kawaida!! Ngoja tusubirie tuoneMachungu yamezidi kipimo huyo msela hakuna data yoyote inayomhusu
Msela na boss lady waliongea lugha 2 kimalkia na lugha nyingine INSIDER hakuitambua inahisiwa kuwa kifaransa
Popote atakapoonekana msela toa taarifa kuna hifadhi yake imeandaliwaHapo itakua kuna kitu hapo sio kawaida!! Ngoja tusubirie tuone
Msela akae kwa password sio!!Popote atakapoonekana msela toa taarifa kuna hifadhi yake imeandaliwa
Msela kaharibuMsela akae kwa password sio!!
The pain is real sio poaaa!!
Yeah kaharibu sana!!Msela kaharibu
Prisca adhibitiwe asije kuharibu zaidi
Mimi nimechambua na kutoa maoni, SIJACOMMAND , PUMBAVU!!Ndugu mchambuzi andika story yako na wewe Kisha uzingatie hivyo ulivyovisema, usimpangie Apunguze chumvi we unajuaje km ni chumvi ulikuepo wakati hayo matukio yanatokea!?