dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Lucas mwashambwa njoo Soma story acha siasa za kinafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekwama sana. Kwamba Jane ndio Vick?. Mbona hata haviendani kabisa na maelezo. Maana Vicky kwa vyovyote angetambulishwa kwa namna nyingine,tofauti na JaneTISS data:
Mzee Pama - Likwalile
Jane - Vicky Kamata
Mzee Pama humu kaandikwa kama mstaafu lakini aliachishwa kazi na Magu. Pia alifariki 2021 na ana watoto Canada na wake wengine.
Jane anaishi Mbweni humu katumika kama hawara, kwenye kesi Vicky akisema mke halisi lakini mahakama imeikata doa yake. Pia Vicky ana gombania mali na watoto wa Likwalile wa Canada.
Kila nikisoma huu uzi na kesi ya Vicky Kamata na watoto wa Likwalile naona hao ndio wahusika wa huu uzi.
Sio kupindisha kwa ukubwa huo. Mfanano mliouona nyie ni mdogo sana kuliko. Ksbb tu Vick ana nyumba mbweni ni hilo tu. Ambacho hamjakiona mke mwenza na Vick alifariki kabla ya mumewe na mke wa Pama yupo hai ambaye ni mke mwenza na Jane. Hamuuoni utofauti mkubwa sana hapo?. Hata msimuliaji hawezi kupindisha swala kubwa sana la mtu kuwa hai amfanye mfu na mfu amfanye hai kwenye usimuliaji. Hicho ni kitu kikubwa haiwezekaniMwandishi anaweza kuongeza mambo kupindisha
Hii ndio inaitwa ng'ombe wa masikini hazai Jane ndo kwanza anaanza ifaidi life mzee kavuta nawe ahadi ya connection to work abroad ndio basi tena“Insider Mzee Pama amefariki leo jioni”
“What? amefariki? mbona sikuelewi Jane….”
Na jane alianza kulia sana muda huu, Mimi mwenyewe nilijikuta naanza kukosa nguvu maana nilikuwa naona kama ndoto hivi.
Hadithi yako inatufundisha nini sasa??TISS data:
Mzee Pama - Likwalile
Jane - Vicky Kamata
Mzee Pama humu kaandikwa kama mstaafu lakini aliachishwa kazi na Magu. Pia alifariki 2021 na ana watoto Canada na wake wengine.
Jane anaishi Mbweni humu katumika kama hawara, kwenye kesi Vicky akisema mke halisi lakini mahakama imeikata doa yake. Pia Vicky ana gombania mali na watoto wa Likwalile wa Canada.
Kila nikisoma huu uzi na kesi ya Vicky Kamata na watoto wa Likwalile naona hao ndio wahusika wa huu uzi.
Kwa shauku kubwaTwasubiri
Tuanze weekend vizuriKwa shauku kubwa
KabisaTuanze weekend vizuri