Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

We naweeee si yalishapita..wasamehe bwana
Yalisha pita ni kweli ila sitochoka kuwakumbusha watu kuwa watu wa humu ni wanaroho mbaya hatari wanaweza kukuharibia bila hata sababu so watu wema wawe makini sana kuna watu humu wanamaisha magumu wanacho fikiri ni kuwaharibia wenye maisha mazuri ili wote wawe na maisha magumu kama wao
 
Forget and forgive.........yashapita ila nado una kinyongo
Yanayotokea humu ndoo tafsiri halisi ya jamii wapo wanaokuchukia tu bila sababu no reason anakuchukia tu cha msingi Fanya mambo YAKO ya muhimu usiendeshwe .....utalalamika Sana ila yashatokea tulia tu
 
Hivi Mimi ndio naelewa tofauti??......kwa uelewa wangu hii story mwanzoni ilikuwa true story kweli....ila hapa KATIKATI huyu jamaaa kaamua kuigeuza kuwa FICTIONAL tuuu(nahisi alishindwa kumla iryn) mpk tunavyoongea story imegeuka kuwa dialogue hamna Cha kujifunza

Sisi wafuatiliaji kitambo alisemaga atamaliza hii simulizi kwenye episode za 30s[emoji1][emoji1][emoji1].....kipindi icho nikimaanisha episode 29 zilikuwa nondo kweli mtu unajifunza kitu Ila from there nothing it's seems nothing new.

Haya Ni maoni yangu ila Ni wazi hii mnao scroll down tupo wengiii...... nasubiri comment ya
 
Yah mawazo sawa na mie...

Kwa sasa imekuwa story kama isidingo hakuna kipya cha kujifunza.

Tofauti na mwanzo.
 
Hivi Mimi ndio naelewa tofauti??......kwa uelewa wangu hii story mwanzoni ilikuwa true story kweli....ila hapa KATIKATI huyu jamaaa kaamua kuigeuza kuwa FICTIONAL tuuu(nahisi alishindwa kumla iryn) mpk tunavyoongea story imegeuka kuwa dialogue hamna Cha kujifunza

Sisi wafuatiliaji kitambo alisemaga atamaliza hii simulizi kwenye episode za 30s[emoji1][emoji1][emoji1].....kipindi icho nikimaanisha episode 29 zilikuwa nondo kweli mtu unajifunza kitu Ila from there nothing it's seems nothing new.

Haya Ni maoni yangu ila Ni wazi hii mnao scroll down tupo wengiii...... nasubiri comment ya
Hata mimi nilikuwa nawaza kama wewe mkuu
 
Back
Top Bottom