Oya ukitaka kujua km watu wana hela kaa na watu wenye hela
Mm nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni flan iliyopo posta karibia na makao makuu flan hiv ya maokoto nchin opposite na hotel flan hv maarufu.
ile kampuni inadeal na maswala ya wateja,wateja weng wa ile kampun ni watu wanaokaa masaki,oysterbay kunduchi mbezi yan hasa ushuani wa changanyiken ni nadra saan.
yan kifupi ni watu wenye hela zaid yan ushamba wangu wote uliishia pale kwanza niliujua mji vzr sana na mitaa yote ya jiji ila kifupi kuna watu wanahela nyie achen masihara,yan kuna jamaa ni muhindi ya kula yake ya usiku chakula kinatoka sea cliff bill 200,000
watu wanapata breakfast asbh bill si chini ya 100k
ukitaka kuamin maisha tumetofautiana sana ww tembelea hii migahawa
1.Orchid cafe ipo masaki na IT Plaza posta
2.sea cliff ipo masak mwisho na posta haidart plaza
3.wood berry ipo masaki
4.taste me ipo mikocheni plaza,coco beach,salamander towe
5.samaki samaki ipo masaki,mliman city
6.Cafe Aroma ipo obama drive n.k
KWAHYO SISHANGAI WATU WAKISEMA STORY YA JAMAA NI CHAI KWASABABU USIPOKUWA KARIBU NA WATU WENYE HELA KWAKO UTAONA NI MAMBO MAGENI SANA