Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Katika hii Hadithi ni simple sana LU-DECODE, Baadhi ya taarifa :-

1.Jina la Saloon ndio ilikuwa ni code kubwa ya kwanza
2.Mwandishi mwenyewe
3.Mzee Pama
4.Ugonjwa na Hospital aliyolazwa Pama
5.Kama Saloon ipo maana code ya Iryn simple kuifungua
6.N.k n.k n.k

Otherwise, tuendelee kusoma utunzi wa Kijana mwenzetu.
Not simple as you think, na hapa nampa sifa kafanikiwa kutumia code kubwa sana. Unafikiri yeye hajui mkiijua salon kila kitu kimejulikana?

Naona umeandika NONSENSE 🚮
 
Kuna ka feeling nakapata ninavyosoma hii story hakaeelezeki yan sijuh ndo kusisimua huku 🔥
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu [emoji120]
 
Nakuweka katika maombi yangu Mkuu
 
Ebwana eeh kwa upande mwingine mimi nipende kukushukuru bwana insider man,kwa story yako,ilikuwa nzuri sana,mimi nilitaka umle tu huyo manzi na hapo ndo utakuwa mwisho wa story kwangu,wengine endeleeni na mtaalamu mpaka mwisho..Kuhusu jr namuombea Mungu awatumie madktari vyema ili wamponye..adios
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu [emoji120]
Tuko pamoja kaka mungu ni mwema atapona
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu [emoji120]
mungu awe baby[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu [emoji120]

Ooohoo Pole Sana Kwa Jr wetu MUNGU WETU amfanyie wepesi apate nafuu na apone kabisa[emoji120][emoji120] MUNGU ni mwema atakua sawa
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu [emoji120]

We surely have become your relatives. Sio kwa kufuatilia huku kuhusu maisha yako!
Be well soon Junior!!!
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu [emoji120]

Mola amponye upesi Jr.
 
Poleni sana Mkuu. Mungu ampe uzima na afya tena.

Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu [emoji120]
Mungu wetu ni mwema sana na mwenye Nguvu, Atamponya na atamlinda Kaka, Damu ya Yesu iwafunike🙏
 
Back
Top Bottom