xcus
Member
- May 22, 2014
- 71
- 89
My favorite character ni INSIDER MAN maana haujatuangusha Kwa boss lady pia ni mpambanaji very inspiringWho is your favorite character in the story? So far and why?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My favorite character ni INSIDER MAN maana haujatuangusha Kwa boss lady pia ni mpambanaji very inspiringWho is your favorite character in the story? So far and why?
mzee juma aisee, he knows the meaning of friendship. matatizo ya mzee pama kayabeba na mafanikio ya mzee pama kayasimamia.Who is your favorite character in the story? So far and why?
Bro you kwa sababu napambana na una akili pia ya utafutaji kingine una keep promise na una utu I see you taking care of Jane hata baada ya mzee Pama kufariki.Who is your favorite character in the story? So far and why?
Mama J, coz I am also a mother and a wife to someone ambae ninajitahidi kupambana kadri niwezavyo ili kumpunguzia mzigo wa majukum mr wangu.Who is your favorite character in the story? So far and why?
Mama jr kipindi anakupa nauli kipindi upo vibaya huelewi….ep ya 2….Hawa wengine wamekuja baada ya mama jr kukupa sapoti….Who is your favorite character in the story? So far and why?
Una umri gani Mkuu ?
Hili neno ndio umenichekesha. Kwanza huyu monk fake Mana hatakiwi kuwa na furaha ama huzuni yaani awe neutralMONK
Wote walioposti humu angalau wewe ndiye umsileta sura ya irene Sasa Mana pia sura ya kihabeshi ipo.yaani hapa sawa Ila wengine wanachukua hawa wasukuma wanyantuzu wa nkororo wanamfananisha kisa rangiPicha nayovuta ya Iryn akiwa ametoka kuogelea. INSIDER MAN nipe marks kama anakaribiana na huyuView attachment 2787125
Nahisi katika wote waliopost picha za kukisia za Irene hii itakuwa imemkaribia kwa mujibu alivyofafanuliwa na muandishi.Picha nayovuta ya Iryn akiwa ametoka kuogelea. INSIDER MAN nipe marks kama anakaribiana na huyuView attachment 2787125
After some years in the future your perception about love will change
After some years in the future your perception about love will change
jipe muda tu
You my friend. Kwanza Uko vizuri kwenye kupambana.Who is your favorite character in the story? So far and why?
Bro you kwa sababu napambana na una akili pia ya utafutaji kingine una keep promise na una utu I see you taking care of Jane hata baada ya mzee Pama kufariki.
and wapili ni
mama J aiseee mmetoka mbali sana na ana upendo wa kweli kwako...... Iryn si sana kwangu she is good but daah kamla kisogo mama J hapo tu aliponichosha mhabeshi yule [emoji23][emoji23][emoji23] japo nilikua napenda umle na umemla sasa sijui nammindia nini dada wa watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah bhana namhurumia mama J wangu tu kusalitiwa.
Mama J, coz I am also a mother and a wife to someone ambae ninajitahidi kupambana kadri niwezavyo ili kumpunguzia mzigo wa majukum mr wangu.
Mama jr kipindi anakupa nauli kipindi upo vibaya huelewi….ep ya 2….Hawa wengine wamekuja baada ya mama jr kukupa sapoti….
Bimkubwa wako japo hajaonekana mara nyingi ila kuna namna alikuwa ananikosha na ushauri wake juu ya matatizo uliyokuwa ukimpelekea.Who is your favorite character in the story? So far and why?
Nahisi katika wote waliopost picha za kukisia za Irene hii itakuwa imemkaribia kwa mujibu alivyofafanuliwa na muandishi.
Mama junior is very innocent,but the way una mchit is not good at all,...Who is your favorite character in the story? So far and why?