Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Wa 1 ni wewe hapo INSIDER MAN jinsi ulivyo pambana kuanzia kwa mjomba mabegi ya kichina mpaka kuwa dereva wa Uber mpaka meneja halafu sio mtu wa kupenda kitonga una work hard.

Wa 2 ni Mama J mmetoka mbali kaku push sana.

Wa 3 ni Irene

Wa 4 Mama yako
Rudia story bro .mpambano ulianzia kwenye kuwapikia ma dog 🐕 ya uncle
 
Rudia story bro .mpambano ulianzia kwenye kuwapikia ma dog 🐕 ya uncle
Itabidi wewe ndo urudie story mie ni Sis sio bro 😂 kaanzia kwenda na mjomba wake kwenye ishu za mabegi mbwa baadae na pia siwezi mention kila kitu.
 
Dah INSiDER MAN kaitaja Gran Meliá kanikumbusha mbali, once nililala Meliá Arusha ,hizo hotel ni balaa buffet ,rooms kila kitu automated ,lights ,shower ,TV ni balaa. I still dream about the hotel
Hotel nzuri sana hizi, nimelala kama mara 3 hivi.
 
Msiomjua iyrin ndo huyu HAPA
FB_IMG_1697291481064.jpg
 
Back
Top Bottom