granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
tumeshaanza kuulizwa maswali ya kitoto sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii picha ni kama Prisca vile..[emoji1]Picha nayovuta ya Iryn akiwa ametoka kuogelea. INSIDER MAN nipe marks kama anakaribiana na huyuView attachment 2787125
Ba meno yake kama ya Gaucho.huyu ndo iryn mwenye sasa kwa ambao hamumfahamView attachment 2787732
Most likely picture so far, uabeshi + ukaburu=✅, INSIDER MAN njoo uweke Alama hapa, scale 1 to 5, where 1 most likely and 5 most unlikely.huyu ndo iryn mwenye sasa kwa ambao hamumfahamView attachment 2787732
How or what do you meanSiku zote nakuchoraga
Rudia story bro .mpambano ulianzia kwenye kuwapikia ma dog 🐕 ya uncleWa 1 ni wewe hapo INSIDER MAN jinsi ulivyo pambana kuanzia kwa mjomba mabegi ya kichina mpaka kuwa dereva wa Uber mpaka meneja halafu sio mtu wa kupenda kitonga una work hard.
Wa 2 ni Mama J mmetoka mbali kaku push sana.
Wa 3 ni Irene
Wa 4 Mama yako
maswali ya kiwakiWho is your favorite character in the story? So far and why?
Jibu la KIWAKI KUTOKA KWA MZEE WAKImaswali ya kiwaki
Itabidi wewe ndo urudie story mie ni Sis sio bro 😂 kaanzia kwenda na mjomba wake kwenye ishu za mabegi mbwa baadae na pia siwezi mention kila kitu.Rudia story bro .mpambano ulianzia kwenye kuwapikia ma dog 🐕 ya uncle
Hotel nzuri sana hizi, nimelala kama mara 3 hivi.Dah INSiDER MAN kaitaja Gran Meliá kanikumbusha mbali, once nililala Meliá Arusha ,hizo hotel ni balaa buffet ,rooms kila kitu automated ,lights ,shower ,TV ni balaa. I still dream about the hotel
Huyu atakuwa Prisca [emoji4]Msiomjua iyrin ndo huyu HAPA View attachment 2788046
Hapana i trust her,,ingekuwa ivyo ungeshajua zamani she is wife material...What if kama na yeye ananicheat? [emoji23]
Sorry dear I didn't mean kuchange your gender. Ok thanksItabidi wewe ndo urudie story mie ni Sis sio bro 😂 kaanzia kwenda na mjomba wake kwenye ishu za mabegi mbwa baadae na pia siwezi mention kila kitu.
Naam, umeniita? Tatizo nini?
Siku iryn..akutane na simba lamasimba dangote utajua ujui
Hapana i trust her,,ingekuwa ivyo ungeshajua zamani she is wife material...