Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Huyu Claire mbona kama ni lgbtq
Usikute wanakoboana na Iryn
Anamuonea wivu Insider
Bora wewe umewahi hta kumuona huyu maana Iryn mwenyewe anatuchnganya maana picha zake humu zimetpiwa za kutosha na wadau ni km kinyonga mara mnene,mwembamba, mweupe ,maji ya kunde yani ili mradi
 
Oohhh pole mkuu pole sana Mungu atakupa mwingine, I know the pain I also lost my son last year October kama hii and was my first born. Usijali tushukuru kwa kila jambo and let's move on ninaamini yajayo yanafurahisha.
Mkuu pole sana mkuu this is so painfull kwa kweli.
 
Huyu jamaa yetu anachonizidi ni ujasiri, anaanzaje kujitambulisha kwamba ni wapenzi na Iryn? Kwa Rafiki zake na hadi babaake Iryn? (Kuna balaa liliwahi nipata sitasahau maishani)

Daaaah!!!!
Jifunze kusoma na kuelewa.. unasikitisha.
 
Nimeamua kula vitu vya insider man
JPEG_20231022_211404_3178478733953146697.jpg
 
Bora wewe umewahi hta kumuona huyu maana Iryn mwenyewe anatuchnganya maana picha zake humu zimetpiwa za kutosha na wadau ni km kinyonga mara mnene,mwembamba, mweupe ,maji ya kunde yani ili mradi
Wadau wanabet tu hakuna anayemjua personal
Ila huyu Claire aliyeenda kuishi naye na hv ni watoto wa kishua hawashindwi kuwa wanakoboana
 
Back
Top Bottom