Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Wewe utakuwa ndo Prisca story inakera?? Umetumwa Usome?? Mastory yaliyojaa humu unasema story inakera are you crazy?????
Wote sio mashoga kama wewe so hatuwez fanana kimtizamo bibie yes mimi ni prisca nipeleke kwa babako
 
Mnaendeleaje wadau, shule imebana [emoji1544].

Mwenye swali lolote, uliza nikujibu. Karibuni.
Umesahau kufungua code ya jinsi ulivyotoka kuwa mzee wa sekunde kadhaa mpaka kuwa the best on bed....! Fungua code vijana tupate madini
 
Sipingi mawazo Yako lakini unalichukulia hili jambo kwa wepesi sana, tunaoshauri hapa wengine tumeshapitia mambo mazito maishani ni vile tu hatuwezi kuandika Kila kitu hapa, tunauzoefu na haya mambo chini ya mwenyekiti wetu wa kudumu Watu8

Usifikiri Mama J kuambiwa mapema ni suluhisho la uhakika, anaweza akaambiwa, akavunga amelipokea Kwa moyo mkunjufu bila kinyongo na ndoa ikafungwa lakini atakachokuja kukifanya huko mbeleni anakijua mwenyewe moyoni mwake ( na hii haijalishi ni Mchaga, mmatumbi au kabila Gani)
Kumbuka tayari Mama J ana wasiwasi mzito sana na mashaka juu ya Iryn, Sasa kupata uthibitisho wa hili jambo kutoka Kwa INSIDER MAN itaurarua moyo wake na kuleta chuki isiyo na maelezo.

Unavyoona tunasema ndoa ifungwe kwanza hayo mambo mengine yatajisumbukia huko mbeleni sio kwamba hatumpendi Iryn na mtoto wake, tunaangalia namna ya kupunguza athari na uharibifu zaidi ya Hali ilivyo Sasa.

Linaweza kuibuka varangati hata jamaa yetu shule isisomeke, kazi zikavurugika na hata mawasiliano ya Siri kati yake na Iryn yakaingia dosari kuelekea asimuone Tena Binti Yao.

Kumbuka Iryn nae ni binadamu ana hisia, likiibuka varangati itabidi aiponye nafsi yake na ya mtoto wake hata kama itabidi kumkwepa Insider.


Ndoa italeta Imani Kwa Mama J na kujihakikishia hati miliki na nafasi yake ya main wife. Danadana zingine ataona kama mizengwe ya kutaka kupigwa chini.

Naomba nieleweke pia nilisema hata jambo la kutambulishwa Iryn na mtoto lisubiri kwanza, sijasema wasipelekwe kabisa Kwa wazazi. Mtoto/watoto lazima wajulikane lakini sio Kwa wakati huu.

Kila maamuzi tunayofanya kwenye maisha, yanagharana zake, ziwe chanya au hasi lakini Yana athiri Kwa namna Moja au nyingine maisha yetu.
Brother uko vizuri sana ushauri huu nimzuri kwa bwana insiderman
 
Kuna kitu nilisahau kumuuliza Insider. kuhusu mke wa Mzee Pama .Je alipogundua Mumewe kamjengea mchepuko Nyumba na mimba juu mapokeo yake yalikuwa tu positive mpaka mgawanto wa Mali keep sa ru yupo kwa Will au ilikuwaje?Mana Insider umepotray as if Yule ma
Hakuna lililomshtua Tena michepuko miwili Je hali.ilikuwaje na Kama alikuwa poa tu why? Mana nakumbuka aliwahi kukuita kuhusu ni muda gn umefahaniana na Jane

Alielezea kwamba huyo maza hakuwa na noma...
 
Kuna mambo

Mengi sana ya kujifunza ikiwa hujapata lolote wewe sio chochote yaani Ni empty mind
Yaani unaushia kusema mengi tu hutaji nimambo gani umejifunza kupitia hii story au ndio kufata mkumbo wawatu.
 
Humbleness
Fighting spirit
Self confidence
Risk taking
Essence of being a man of people
,kusema ukweli hii nisimulizi nzuri sana sibishi ila nakiri kusema labda wenye interest na biashara ya uber ndio watakua wamechukua nondo zakufa mtu hapa lkn hii ni personal life experiences tu ambapo kamwe hatuwezi kupitia wote kama insderman, never ever hata kama uki-imitate each and everything alivyosimulia hapa huwezi kua kama yy.kila mtu ananjia yak,na experiences zake,maisha ni hadithi tu(refer mzee alli hassan Mwinyi).
 
Back
Top Bottom