Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Duh, kumbe kupika ni ushoga, hakika uko mbali na dunia ya leo, na inaonekana wazazi wako hawajafanikiwa kukulea katika mazingira ya kujitegemea na kujisimamia wewe kama wewe, bado uko na safari ndefu sana ya kujikomboa kifikra ndg, na pia itapendeza kama utamtaka radhi ndg insider kwa kauli yako yenye ukakasi juu yake,
pole mkuu ila acha yeye anijibu.
 
Ukiwa na mwanamke ambaye kila ikitokea mmegombana anakimbilia kwao unatakiwa akiondoka basi usimfuate wala usimtafute kabisa wala usihudhurie kikao chochote kitakachoitishwa. Mwache akae kwao wewe piga kimya na endelea na mishe zako as if hujawahi kumfahamu. Nakwambia atarudi mwenyewe bila kikao wala bila wewe kuomba msamaha na hatarudia tena kuondoka nyumbani.

Ila ukimfuata kila anapoondoka na kukalishwa vikao na wewe kuomba msamaha huyo atakusumbua sana kwa huo upuuzi. Mwache atulie kwao na akija hakuna kuzungumzia kesi iliyomfanya aondoke. Sometimes ubabe unahitajika ili kuweka heshima ndoani
Kitendo cha INSIDER MAN kukubali kutafutiwa kiwanja na baba mkwe na yeye kukubali alikosea.
 
kaka INSIDER MAN Unakula sana bata mjini na watoto wakali. Ila katika story yako inaonekana wewe ni wa kishua, umezaliwa kwenye familia zenye uchumi na maisha mazuri.

Nina swali muhimu sana kwako, hapo uliposema dada yako alikusaidia kuwa mwanaume Rijali je mwanzoni ulikuwaje maana kuna kitu nilikuwa nimeanza kuhisi tangu mwanzo wa story.

Najambo lingine INSIDER MAN nataka ujibu kwanini wanawake wanapenda sana wanaume wenye Viashiria vya Ushoga? yaani wale wanaume wenye tabia za kike kike mfano wanaopenda masuala ya urembo na mitindo, nk?

Mwisho japo sio kwa Umuhimu Nipe Connecton ya kazi hata huko ma viwandani au makampuni binafsi hata ya ulinzi, Masoko, sales, n.k
Unaweza usiwe umemaanisha au lengo limetimia. Ila hiyo paragraph ya tatu haikupaswa kuwepo. Hiyo ni direct attack kwa mzee baba anayetufanya tuwe hapa.
 
kaka INSIDER MAN Unakula sana bata mjini na watoto wakali. Ila katika story yako inaonekana wewe ni wa kishua, umezaliwa kwenye familia zenye uchumi na maisha mazuri.

Nina swali muhimu sana kwako, hapo uliposema dada yako alikusaidia kuwa mwanaume Rijali je mwanzoni ulikuwaje maana kuna kitu nilikuwa nimeanza kuhisi tangu mwanzo wa story.

Najambo lingine INSIDER MAN nataka ujibu kwanini wanawake wanapenda sana wanaume wenye Viashiria vya Ushoga? yaani wale wanaume wenye tabia za kike kike mfano wanaopenda masuala ya urembo na mitindo, nk?

Mwisho japo sio kwa Umuhimu Nipe Connecton ya kazi hata huko ma viwandani au makampuni binafsi hata ya ulinzi, Masoko, sales, n.k
Haha kama unahisi kuna viashiria vya ushoga na unajipeleka huogopi?

Sumu haionjwi kwa kidole
 
Kesi iliisha kwa familia zote mbili kukutana na kulimaliza hili suala pamoja na kumlipa mama wa2 fidia na gharama zote. Baada ya week kupita, Pili alirudi shule kuendelea na masomo yake na matokeo ya NECTA alipata ufaulu wa Divion 1 ya 4, kwasasa yuko India anasomea udaktari.
Habari wanajamvi!..., Natumai Ni wazima.

Kwa wazazi wanaopenda wanao wasome nje ya nchi, NASHAURI:-

✓ Mpambanie akasome Western countries, sababu kuu Ni uwepo wasl fursa nyingi; japo kwa uchache tu:-

¶ Uwepo wa scholarship nyingi za full funded. SI scholarship ya Sweden(masters), Uk za kutosha, USA na Canada , German, Australia. n.k

¶ Anaweza akasoma Huku akifanya kazi, na uzuri chumi na sheria nyingi za Western coutries zinaruhusu hili. Hii itamjenga, haswa wenye lengo la kubaki huko.

Kwa uchache tu, Ni hayo..
 
India bei nafuu sana mkuu hasa kwa MD, Scholarship nyingi ni kwa Postgraduate
 
Habari wanajamvi!..., Natumai Ni wazima.

Kwa wazazi wanaopenda wanao wasome nje ya nchi, NASHAURI:-

✓ Mpambanie akasome Western countries, sababu kuu Ni uwepo wasl fursa nyingi; japo kwa uchache tu:-

¶ Uwepo wa scholarship nyingi za full funded. SI scholarship ya Sweden(masters), Uk za kutosha, USA na Canada , German, Australia. n.k

¶ Anaweza akasoma Huku akifanya kazi, na uzuri chumi na sheria nyingi za Western coutries zinaruhusu hili. Hii itamjenga, haswa wenye lengo la kubaki huko.

Kwa uchache tu, Ni hayo..
alexkaria@tiktok
 
EBM scholars @ youtube
 
Back
Top Bottom