kaka
INSIDER MAN Unakula sana bata mjini na watoto wakali. Ila katika story yako inaonekana wewe ni wa kishua, umezaliwa kwenye familia zenye uchumi na maisha mazuri.
Nina swali muhimu sana kwako, hapo uliposema dada yako alikusaidia kuwa mwanaume Rijali je mwanzoni ulikuwaje maana kuna kitu nilikuwa nimeanza kuhisi tangu mwanzo wa story.
Najambo lingine
INSIDER MAN nataka ujibu kwanini wanawake wanapenda sana wanaume wenye Viashiria vya Ushoga? yaani wale wanaume wenye tabia za kike kike mfano wanaopenda masuala ya urembo na mitindo, nk?
Mwisho japo sio kwa Umuhimu Nipe Connecton ya kazi hata huko ma viwandani au makampuni binafsi hata ya ulinzi, Masoko, sales, n.k