Ok! Hadi sasa ni watu 3 tu ambao wanajua kinachoendelea kuhusu hii story.
1. Dullah
2. Allen
3. Sister
Nimetumia Code ambazo ni ngumu kufungua lakini ikitokea mmoja akamwambia mama J, bhasi code zote zitakuwa wazi, ila kwa sasa hata yeye
akisoma hawezi jua😀
Hadi sasa hakuna code iliyofunguka sababu watu niliowazungumzia hata JF hawaijui.😂
50% ya mambo niliyoandika yapo kwenye code 🔐.
Hadi sasa bado mmeshindwa kuwafahamu Mary na Prisca, mtu na dada yake wamefanana, hadi chuo anachosoma Prisca nikawaambia ni UDSM tena Law na mwezi huu ana graduate.
JF hakuna majasusi. Mama wawili nilishawapa code, kama bank mtu kashajua anafanyia ipi, kitengo chake niliwaambia, mara nyingi sana anatembea na MD.🤷🏻♂️