Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Bora mtoto wa tatu anapatikana kwa Irene nilijua umeongeza baby mama mwingine....kila lakheri. Namuonea huruma sana mama J siku akijua mbaya zaidi watoto 2 nyie watu wanapitia magumu mno.
Sijui ataamua maamuzi gani ila apate furaha tuu, pole yake mwanamke mwenzangu.
You will never understand the guy because you are a Woman
 
Ok! Hadi sasa ni watu 3 tu ambao wanajua kinachoendelea kuhusu hii story.
1. Dullah
2. Allen
3. Sister

Nimetumia Code ambazo ni ngumu kufungua lakini ikitokea mmoja akamwambia mama J, bhasi code zote zitakuwa wazi, ila kwa sasa hata yeye
akisoma hawezi jua😀

Hadi sasa hakuna code iliyofunguka sababu watu niliowazungumzia hata JF hawaijui.😂

50% ya mambo niliyoandika yapo kwenye code 🔐.

Hadi sasa bado mmeshindwa kuwafahamu Mary na Prisca, mtu na dada yake wamefanana, hadi chuo anachosoma Prisca nikawaambia ni UDSM tena Law na mwezi huu ana graduate.

JF hakuna majasusi. Mama wawili nilishawapa code, kama bank mtu kashajua anafanyia ipi, kitengo chake niliwaambia, mara nyingi sana anatembea na MD.🤷🏻‍♂️
Ya Mama Wawili nikipamba nitaijua mkuu Asubuhi tu sema Nina uvivu wa kuichimba sana. Ukiwa Hip Hop kuna mambo unaishi nayo
 
Sahivi ruksa kunishauri kuhusu sakata la mama J. Huko nyuma watu mlikuwa na hisia kali sana nilikuwa nacheka tu, mlikuwa mnatoa ushauri kwa mambo yaliyopita.

Kwasasa unaweza kushauri kwa suala la mama J, maana siku atakayojua ukweli anaweza nichoma kisu. I feel karma, ila ninaamini kila kitu kinatokea kwa sababu, ni mipango ya Mungu.
Hakuna Karma Mkuu, be at peace sisi wanaume watafutaji tunaelewa vizuri Sana. Kama umekosea tumeshakusamehe
 
Poa kaka natumaini mkeo watoto hawajambo kitambo hatujaongea nikipata utulivu nitakupigia msalimie mkeo mwambie wifi lazima siku nije tupike biryani 😁
Anakukaribisha sana. Kesho kutwa jumamosi anapika afrighan pilao anakukaribisha sana.
 
Kwenye pitapita zangu nimekutan na picha ya iryn
IMG_2850.jpeg
 
I had to take Mama J out for lunch before I travel to South Africa. I told her I’m going to Zambia for research, and she wished me all the best.

She doesn’t know anything about me expecting a second child with Iryn. She also doesn’t know that Iryn is due to deliver another baby this week.

I feel karma might catch up with me. When she finds out the truth, I don’t know what will happen. 💔
Insider acha haya mambo ya ubaguzi na unyanyasaji.Unajua fika nafuatilia historia hii na Kiingereza sijui hata cha kuombea maji.Acha mara moja kaka ubaguzi huu.
 
I had to take Mama J out for lunch before I travel to South Africa. I told her I’m going to Zambia for research, and she wished me all the best.

She doesn’t know anything about me expecting a second child with Iryn. She also doesn’t know that Iryn is due to deliver another baby this week.

I feel karma might catch up with me. When she finds out the truth, I don’t know what will happen. 💔
Omba msamaha ikiwezekana wkt wa msamaha uwe na dada yako pamoja au mzazi wako haswa mama yani umpeleke nyumbani kbsa ila daah ataumia sana sana na jua kabsa atapunguza uaminifu kwako ila Mwenyezi Mungu ndio anajua huu mziki sio wa kitoto.
 
Back
Top Bottom