INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
- Thread starter
- #16,341
Why brother?Mzee baba kwenye sekta ya mauno upo vizuri kamanda 😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why brother?Mzee baba kwenye sekta ya mauno upo vizuri kamanda 😆
Hongera insiderWe are lucky to welcome our second baby, a boy, and we have named him Adrian.
Nitakuwepo pia......hongera sana kwa kuleta babyboyNita-attend hii conference nikiwa na mzee Juma. Kama kuna mtu ata register anijulishe ili apate bahati ya kunifahamu.
Boy✍🏻Nitakuwepo pia......hongera sana kwa kuleta babygirl
😀😀😀 kwa mshua si anapajua? Anamtaka bimkubwa?Mama watoto this time wivu umeongezeka sana. Kanitamkia live kwamba, this time akiniotea nina chepuka, atapotea na watoto😤.
Nimepewa deadline kufikia December niwe nimempeleka kwetu, otherwise ataenda mwenyewe.🙆🏻♂️
Muwe na usiku mwema.
Uko mtiifu sana kwa mkeo wa pili ila Binti wa watu aliyekupa hela ya kununulia gari ya Uber ( kama sijakosea alipewa na babake) na ukamjua iryn unamchukulia poa sana, unaenda kanisani na wewe ni mkristu ila sijajua ni kwa identity au kwa Imani. Binafsi mimi ni mkristu ila sina kipingamizi na kuwa na mke zaidi ya mmoja maana ukiachana na ukristu wetu sisi pia ni waafrika ambao baadhi ya tamaduni zetu ni nzuri kama zinshikwa vyema na kutimiza wajibu.Mama watoto this time wivu umeongezeka sana. Kanitamkia live kwamba, this time akiniotea nina chepuka, atapotea na watoto😤.
Nimepewa deadline kufikia December niwe nimempeleka kwetu, otherwise ataenda mwenyewe.🙆🏻♂️
Muwe na usiku mwema.
Maskini Iryn, alisahau you lose them how you get them. Hapo ana two under 2 akili sio yake tena. Akae kwa kutulia sana aonje anayopitia mama JDecember ya keshokutwa au mwakani
Ahsante kwa ushauri,Uko mtiifu sana kwa mkeo wa pili ila Binti wa watu aliyekupa hela ya kununulia gari ya Uber ( kama sijakosea alipewa na babake) na ukamjua iryn unamchukulia poa sana, unaenda kanisani na wewe ni mkristu ila sijajua ni kwa identity au kwa Imani. Binafsi mimi ni mkristu ila sina kipingamizi na kuwa na mke zaidi ya mmoja maana ukiachana na ukristu wetu sisi pia ni waafrika ambao baadhi ya tamaduni zetu ni nzuri kama zinshikwa vyema na kutimiza wajibu.
Ndugu yangu usithubutu kumdharau mkeo wa kwanza una mapungufu mengi sana ila binti wa watu ameuponda moyo wake na kukubali kuishi na maumivu ila mradi tu awe mtiifu kwako
Lakini ninyi mwasema, Ni kwa sababu gani? Ni kwa sababu BWANA amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako, uliyemtenda mambo ya hiana, angawa yeye ni mwenzako, na mke wa agano lako", Mal 2:14 SUV.
Hakuna mtu mmoja aliyetenda hivi, ambaye alikuwa na ufahamu kidogo. Au je! Kuna mtu mmoja atafutaye mzao mwenye kumcha Mungu? Kwa hiyo jihadharini roho zenu; mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana", Mal 2:15 SUV.
Iryn ni mwanamke nzuri anaonekana ana huruma na mambo mengi ila hawezi kuvaa viatu vya mama j, katika nyakati zako za shida na maradhi naamini ni yeye mama j pekee ndiye anayeweza kubeba kinyesi chako na kwenda kukitupa chooni, ni mama j pekee ndiye anayeweza kukutawadha utakapojinyea.
I'm speaking from experience, muheshimu huyo mwanamke usijidanganye na mafanikio ya material things, mwanadamu ni kasha tu hana u babe wowote, pumzi inadanganya mapenzi ya kweli na uhalisia wa maisha huja katika magumu na ndiyo Mungu huruhusu majaribu yatupate ili aone uthabiti wetu na unyenyekevu wetu kwake
ulikuwa unamlaumu mke wa mjomba wako sana unajua kwanini kwa sababu alikuwa na kiburi cha uzima na mafanikio. Asili hutawala, asili ni mema na jambo lolote lilr kinyume na asili LAZIMA litoe matokeo hasi
alamsiki
SawaWale wenye vimeo na mimi, nikirudi Dar nita clear, imeniwia ngumu kufanya contact na mama J. ✊
Wow congrats broWe are lucky to welcome our second baby, a boy, and we have named him Adrian.
INSIDER MAN nimeku PMWale wenye vimeo na mimi, nikirudi Dar nita clear, imeniwia ngumu kufanya contact na mama J. ✊
SawaAhsante kwa ushauri,
correction! Mama J hajawahi kunipa pesa ya kununua gari, nilinunua kwa akiba zangu. Mafaniko ya mama J 80% ni efforts zangu kwake.
Swali: Unajuaje kama mama J hana mapungufu na wakati hauishi naye?😂.
The matters of my family are for me to handle. They are all my wives and have equal rights, it’s just that one of them doesn’t know what’s going on.🤷🏻♂️
Now, I am at a stage where I don’t blame myself for this, and I’m ready for anything.
Hi ni kama umetunga vile? Nenda kasome season 1 bro; pesa za IST alisema namna alivozipata na namna alivozigawanya. Wakati ana nunua hiyo ist hakufikiria kama itakuja kua uber; walivo mmbolea garage bubu yake ndio akawa hana cha kufanya ndio akaanza kua uber mkewe akiwa kwao hakujua kama mumewe kama ni uber hadi dogo alivofumaniwa na 💄 kwenye gari lake. Bajaji (ambayo bado pesa zake zinaingia kwenye acc ya mkewe ) ndio pesa za baba mkwewe. Huyu jamaa kwangu mimi namtazama kama role model kwa vijana wengi, kuna mengi sana ya kujifunza kupitia story yake; sema wengine kwasasa ni "shikamoo jazz" but kwa vijana kuna somo hapa.Uko mtiifu sana kwa mkeo wa pili ila Binti wa watu aliyekupa hela ya kununulia gari ya Uber ( kama sijakosea alipewa na babake) na ukamjua iryn unamchukulia poa sana, unaenda kanisani na wewe ni mkristu ila sijajua ni kwa identity au kwa Imani. Binafsi mimi ni mkristu ila sina kipingamizi na kuwa na mke zaidi ya mmoja maana ukiachana na ukristu wetu sisi pia ni waafrika ambao baadhi ya tamaduni zetu ni nzuri kama zinshikwa vyema na kutimiza wajibu.
Ndugu yangu usithubutu kumdharau mkeo wa kwanza una mapungufu mengi sana ila binti wa watu ameuponda moyo wake na kukubali kuishi na maumivu ila mradi tu awe mtiifu kwako
Lakini ninyi mwasema, Ni kwa sababu gani? Ni kwa sababu BWANA amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako, uliyemtenda mambo ya hiana, angawa yeye ni mwenzako, na mke wa agano lako", Mal 2:14 SUV.
Hakuna mtu mmoja aliyetenda hivi, ambaye alikuwa na ufahamu kidogo. Au je! Kuna mtu mmoja atafutaye mzao mwenye kumcha Mungu? Kwa hiyo jihadharini roho zenu; mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana", Mal 2:15 SUV.
Iryn ni mwanamke nzuri anaonekana ana huruma na mambo mengi ila hawezi kuvaa viatu vya mama j, katika nyakati zako za shida na maradhi naamini ni yeye mama j pekee ndiye anayeweza kubeba kinyesi chako na kwenda kukitupa chooni, ni mama j pekee ndiye anayeweza kukutawadha utakapojinyea.
I'm speaking from experience, muheshimu huyo mwanamke usijidanganye na mafanikio ya material things, mwanadamu ni kasha tu hana u babe wowote, pumzi inadanganya mapenzi ya kweli na uhalisia wa maisha huja katika magumu na ndiyo Mungu huruhusu majaribu yatupate ili aone uthabiti wetu na unyenyekevu wetu kwake
ulikuwa unamlaumu mke wa mjomba wako sana unajua kwanini kwa sababu alikuwa na kiburi cha uzima na mafanikio. Asili hutawala, asili ni mema na jambo lolote lilr kinyume na asili LAZIMA litoe matokeo hasi
alamsiki
Kaka nitaattend nitakujulishaje ilhali hatuja share contact apart from ur emailNita-attend hii conference nikiwa na mzee Juma. Kama kuna mtu ata register anijulishe ili apate bahati ya kunifahamu.
Nyumbn kumenogaa na mhabeshMama watoto this time wivu umeongezeka sana. Kanitamkia live kwamba, this time akiniotea nina chepuka, atapotea na watoto😤.
Nimepewa deadline kufikia December niwe nimempeleka kwetu, otherwise ataenda mwenyewe.🙆🏻♂️
Muwe na usiku mwema.
Hii stori imeisha au bado kuna season 3?Mama watoto this time wivu umeongezeka sana. Kanitamkia live kwamba, this time akiniotea nina chepuka, atapotea na watoto😤.
Nimepewa deadline kufikia December niwe nimempeleka kwetu, otherwise ataenda mwenyewe.🙆🏻♂️
Muwe na usiku mwema.
season 3 ipo may be hata season 4 itakuwepo pia kama Mungu atamlinda insider azidi kutuletea mastoriMkuu
Hii stori imeisha au bado kuna season 3?