Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mama watoto this time wivu umeongezeka sana. Kanitamkia live kwamba, this time akiniotea nina chepuka, atapotea na watoto😤.

Nimepewa deadline kufikia December niwe nimempeleka kwetu, otherwise ataenda mwenyewe.🙆🏻‍♂️

Muwe na usiku mwema.
Uko mtiifu sana kwa mkeo wa pili ila Binti wa watu aliyekupa hela ya kununulia gari ya Uber ( kama sijakosea alipewa na babake) na ukamjua iryn unamchukulia poa sana, unaenda kanisani na wewe ni mkristu ila sijajua ni kwa identity au kwa Imani. Binafsi mimi ni mkristu ila sina kipingamizi na kuwa na mke zaidi ya mmoja maana ukiachana na ukristu wetu sisi pia ni waafrika ambao baadhi ya tamaduni zetu ni nzuri kama zinshikwa vyema na kutimiza wajibu.

Ndugu yangu usithubutu kumdharau mkeo wa kwanza una mapungufu mengi sana ila binti wa watu ameuponda moyo wake na kukubali kuishi na maumivu ila mradi tu awe mtiifu kwako

Lakini ninyi mwasema, Ni kwa sababu gani? Ni kwa sababu BWANA amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako, uliyemtenda mambo ya hiana, angawa yeye ni mwenzako, na mke wa agano lako", Mal 2:14 SUV.
Hakuna mtu mmoja aliyetenda hivi, ambaye alikuwa na ufahamu kidogo. Au je! Kuna mtu mmoja atafutaye mzao mwenye kumcha Mungu? Kwa hiyo jihadharini roho zenu; mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana", Mal 2:15 SUV.

Iryn ni mwanamke nzuri anaonekana ana huruma na mambo mengi ila hawezi kuvaa viatu vya mama j, katika nyakati zako za shida na maradhi naamini ni yeye mama j pekee ndiye anayeweza kubeba kinyesi chako na kwenda kukitupa chooni, ni mama j pekee ndiye anayeweza kukutawadha utakapojinyea.

I'm speaking from experience, muheshimu huyo mwanamke usijidanganye na mafanikio ya material things, mwanadamu ni kasha tu hana u babe wowote, pumzi inadanganya mapenzi ya kweli na uhalisia wa maisha huja katika magumu na ndiyo Mungu huruhusu majaribu yatupate ili aone uthabiti wetu na unyenyekevu wetu kwake

ulikuwa unamlaumu mke wa mjomba wako sana unajua kwanini kwa sababu alikuwa na kiburi cha uzima na mafanikio. Asili hutawala, asili ni mema na jambo lolote lilr kinyume na asili LAZIMA litoe matokeo hasi

alamsiki
 
Ahsante kwa ushauri,

correction! Mama J hajawahi kunipa pesa ya kununua gari, nilinunua kwa akiba zangu. Mafaniko ya mama J 80% ni efforts zangu kwake.

Swali: Unajuaje kama mama J hana mapungufu na wakati hauishi naye?😂.

The matters of my family are for me to handle. They are all my wives and have equal rights, it’s just that one of them doesn’t know what’s going on.🤷🏻‍♂️

Now, I am at a stage where I don’t blame myself for this, and I’m ready for anything.
 
Sawa
 
Uko mtiifu sana kwa mkeo wa pili ila Binti wa watu aliyekupa hela ya kununulia gari ya Uber ( kama sijakosea alipewa na babake) na ukamjua iryn unamchukulia poa sana, unaenda kanisani na wewe ni mkristu ila sijajua ni kwa identity au kwa Imani. Binafsi mimi ni mkristu ila sina kipingamizi na kuwa na mke zaidi ya mmoja maana ukiachana na ukristu wetu sisi pia ni waafrika ambao baadhi ya tamaduni zetu ni nzuri kama zinshikwa vyema na kutimiza wajibu.

Ndugu yangu usithubutu kumdharau mkeo wa kwanza una mapungufu mengi sana ila binti wa watu ameuponda moyo wake na kukubali kuishi na maumivu ila mradi tu awe mtiifu kwako

Lakini ninyi mwasema, Ni kwa sababu gani? Ni kwa sababu BWANA amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako, uliyemtenda mambo ya hiana, angawa yeye ni mwenzako, na mke wa agano lako", Mal 2:14 SUV.
Hakuna mtu mmoja aliyetenda hivi, ambaye alikuwa na ufahamu kidogo. Au je! Kuna mtu mmoja atafutaye mzao mwenye kumcha Mungu? Kwa hiyo jihadharini roho zenu; mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana", Mal 2:15 SUV.

Iryn ni mwanamke nzuri anaonekana ana huruma na mambo mengi ila hawezi kuvaa viatu vya mama j, katika nyakati zako za shida na maradhi naamini ni yeye mama j pekee ndiye anayeweza kubeba kinyesi chako na kwenda kukitupa chooni, ni mama j pekee ndiye anayeweza kukutawadha utakapojinyea.

I'm speaking from experience, muheshimu huyo mwanamke usijidanganye na mafanikio ya material things, mwanadamu ni kasha tu hana u babe wowote, pumzi inadanganya mapenzi ya kweli na uhalisia wa maisha huja katika magumu na ndiyo Mungu huruhusu majaribu yatupate ili aone uthabiti wetu na unyenyekevu wetu kwake

ulikuwa unamlaumu mke wa mjomba wako sana unajua kwanini kwa sababu alikuwa na kiburi cha uzima na mafanikio. Asili hutawala, asili ni mema na jambo lolote lilr kinyume na asili LAZIMA litoe matokeo hasi

alamsiki
Hi ni kama umetunga vile? Nenda kasome season 1 bro; pesa za IST alisema namna alivozipata na namna alivozigawanya. Wakati ana nunua hiyo ist hakufikiria kama itakuja kua uber; walivo mmbolea garage bubu yake ndio akawa hana cha kufanya ndio akaanza kua uber mkewe akiwa kwao hakujua kama mumewe kama ni uber hadi dogo alivofumaniwa na 💄 kwenye gari lake. Bajaji (ambayo bado pesa zake zinaingia kwenye acc ya mkewe ) ndio pesa za baba mkwewe. Huyu jamaa kwangu mimi namtazama kama role model kwa vijana wengi, kuna mengi sana ya kujifunza kupitia story yake; sema wengine kwasasa ni "shikamoo jazz" but kwa vijana kuna somo hapa.
 
Mama watoto this time wivu umeongezeka sana. Kanitamkia live kwamba, this time akiniotea nina chepuka, atapotea na watoto😤.

Nimepewa deadline kufikia December niwe nimempeleka kwetu, otherwise ataenda mwenyewe.🙆🏻‍♂️

Muwe na usiku mwema.
Nyumbn kumenogaa na mhabesh
 
Mkuu
Mama watoto this time wivu umeongezeka sana. Kanitamkia live kwamba, this time akiniotea nina chepuka, atapotea na watoto😤.

Nimepewa deadline kufikia December niwe nimempeleka kwetu, otherwise ataenda mwenyewe.🙆🏻‍♂️

Muwe na usiku mwema.
Hii stori imeisha au bado kuna season 3?
 
Insider man mtu wa kimya kimya, usikute hata mzee juma hajui kinachoendelea kati yako na iryn. Mpaka umepata mtoto wa pili mama hajajua kama umezaa na iryn? Halafu mbona kama boss lady kazaa faster faster hao watoto wamepishana umri gani? Hongera kwa kupata ka handsome zaidi ya juniour.
 
Back
Top Bottom