Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

🫣😊All tena!!!!!!! Nilifikiri both..

The latter, soma ukitaka uburudike pia.

Mmmmmh so aongeze wengine iweje.. Hujasoma tabia za Baba J na wanawake wengine? Magonjwa etc hayo no. Acha awe na wivu kakubali wapo wawili sio kijiji kama alivyo anawatenda wawili anao bado kiguru njia na wengine. Acha kusema vibaya Iryn wamekuwa muwazi. Wanaume mkifunga zipu zenu haya hayatokei..

Wapi umeona atamvuruga, mmesoma stories hii au hamjasoma tena yote eeee na anayoandika nje ya episodes? Kama nyie wengine mmekutana na wanawake naamini lazima ni hawapo kama Iryn kutoka angle zote mpite kimya.

===========

Kuna wanaume sijui wanawake humu naona ishara za W I V U zinashamiriiiiiiiiiiiiiii
Wanatamani Insider abadilike amchukie Iryn kwa kumtungia maneno na wamekuwa muwazi. Mtofautishe watu na watu.. Bongoland labda ndio coz both wangekuwa wanatokea nchi moja.. Na Iryn kawa muwazi na yake. BABA JAA maneno mengine usiyachukue kabisaaaa kuanza kumbadilikia Iryn. Hawatakuwepo kukupa Hongera bali watakuwa kichekooo humu.
Tru..wabongo ni vigeu
 
BONUS CHAPTER 1

Nimeanza kuandika story hii nikiwa South Africa, ule wakati ambao nilikuwa na muda wa ziada, ndipo nilipoanza kuandika Season 1 na kuwapostia. Lengo langu kuu ni kuwapa ujumbe kuhusu safari ya maisha yangu, kutoka mwanzo hadi sasa, maisha ambayo bado ninaishi. Sikutaka kukata tamaa, hata baada ya kumaliza mkataba wangu na taasisi X niliamua kujiingiza kwenye uber, huku ndo nilikopata mafanikio makubwa sana.

Nilichowaandikia ni kama asilimia 30 ya maisha yangu; bado kuna mengi ambayo sijagusia kutokana na sababu za usalama wangu pia.

Kwa ufupi, tangu Iryn alipojifungua, maisha yangu yalianza kubadilika kwa kasi sana. Niliamua kuelekeza nguvu zangu kwenye familia zangu na kujituma zaidi kutafuta hela kwa bidii.

Mwezi Januari 2024, nilikutana na mzee na kumueleza kuhusu suala la kuzaa na Iryn. Alishtushwa sana na habari hizi, na hakusita kunilaumu vikali juu ya hilo. Hata hivyo, nilijitahidi sana kujitetea, hasa kwa kutumia mbinu nzuri ambazo Sister aliniambia.

Mzee aliweza kuelewa hali halisi, na mwezi Februari mwaka huu alikutana na Iryn. Tulienda Zambia kwa ajili ya hili, na baada ya kumuona Aria, mzee alikiri kwamba ni damu yetu. Changamoto iliyobaki sasa ni namna ya kumwambia mama yangu mzazi. Tumepanga kumtaarifu mwezi huu, na safari hiyo itakuwa mimi, mzee, na sister.

Kuhusu mama J, tuko shwari kabisa, na upendo kati yetu umeendelea kukua kwa kasi; tunapendana sana. Junior mwaka huu alianza shule na anaendelea kufanya vizuri sana darasani. Kampuni ya Masaki bado ipo na inaendelea kufanya vizuri sana, na pia mama mtoto amefungua biashara nyingine hapa Dar es Salaam.

Kuhusu mtoto wetu Aria, sasa ana mwaka mmoja na miezi mitatu, na tumefanana sana. Ninajitahidi kumtembelea mara kwa mara kule South, hata wiki iliyopita nilikuwa huko kumuona.

Habari njema nyingine ni kwamba mwezi wa 10 huu ninatarajia kupata mtoto wa pili na Iryn. Baada ya kuja Disemba mwaka jana, tulikutana na hali hiyo ikapelekea kushika mimba. Ingawa hatukupanga hili, hatukuwa na namna zaidi ya kukubaliana yeye kuzaa. Hali hii imefanya niwe nasafiri mara kwa mara kwenda South Africa.

Kuhusu Mary, alipata kazi Mwanza katika moja ya taasisi nyeti inayoshughulika na masuala ya BOP. Hatuko kwenye mahusiano ya kimapenzi rasmi, lakini bado tunakutana kisela.

Mipango yangu ni kuhakikisha kwamba kufikia mwakani kila kitu kiwe wazi kwa mama J. Hata hivyo, hili linasubiri wazazi watoe maamuzi, kwani tunasubiri kuona mama atachukua hatua gani akijua ukweli. Nia yangu ni kumuoa mama J kwa kufunga naye ndoa, lakini hilo litafanyika tu endapo atajua ukweli na kukubali kwa hiari yake.

Mbali na mama J, pia nina mpango wa kumfanya Iryn awe mke wangu wa pili. Sijui wazazi watasema nini kuhusu hili, lakini anatarajia kupata mtoto wa pili. Hali hii inahusisha majadiliano mazito na maamuzi ambayo ni muhimu kabla ya kuchukua hatua zozote.

Nitarudi kuwapa hadithi fupi pale ambapo nitamuweka wazi mama J kuhusu hili suala. Sijui itakuwa lini—labda mwakani au baada ya miaka miwili au mitatu. Lakini nitawapa mrejesho wa kilichotokea kwa kuwapa Season 3 au lah. Nitawapa muendelezo wa mambo yalivyokuwa, kuanzia niliporudi Dar es Salaam mwezi Julai 2023. Hapa katikatika nimepitia mambo mengi sana, hadi sasa ni vile hamjui kinachoendelea nyuma ya pazia, kumekuwa na vikao vingi sana.

Mwisho kabisa, mwakani Mungu akijalia nitaondoka Tanzania na familia yangu kwenda kufanya kazi nje. Jambo la muhimu tuendelee kuombeana uzima na mapambano mema, tuache chuki na Roho mbaya.

Bonus, inayokuja tutachambua wote fursa zinazopatikana Dar es Salaam na huenda nikawa na thanks giving kwa baadhi ya watu watakao bahatika, nikaangalia namna ya kuwa support kwenye harakati zao. Lakini hadi kufikia sasa nimeshatoa kwa watu wengi tu, ambao walikuwa wanakuja inbox na sababu zilizonyooka, na wengi ni matapeli.

Tukutane kesho!
ki

niseme tu shukrani sana INSIDER MAN kwa story nzuri sana ambayo nimeifatilia kwanzia Mwanzo mpaka Mwisho huu ,Niseme kwamba story hii imenifunza mengi sana Namna ninavyowaza ,Namna yakuhandle Mahusiano ,Imesababisha nimeona nakujifunza umuhimu wakutembelea na kuishi Vizuri na Ndugu ,Kwa kwel i have learn alot ,Kwa sisi ambao tumemaliza chuo mwaka huu niseme kwamba safaru yangu ya maisha imeanzia kwenye Hii Thread , Kila la kheri kwako Baba aria na Kwa Iryn ( Genevieve )

Pongezi kubwa Kwa Tajiri Maxence Melo kwakutuandalia Hii platform nzuri yakujifunza

Jamii forums ,Home of Great Thinkers!.
 
Huyu sasa ndo Iryn mwenyewe. Mtoto flani hivi hatari na nusu. Hakika ni mzuri
 
Attachments

  • Screenshot_20241105-091139~2.png
    Screenshot_20241105-091139~2.png
    1.6 MB · Views: 11
  • Screenshot_20241105-091205~2.png
    Screenshot_20241105-091205~2.png
    2 MB · Views: 28
Inabidi tuwape tuzo.waliotoa Hadithi bila ya kugusa ulaji wa mbususu jamani . Mana this is common African man brain/mind to talk/think/see mbususu all the time 24/7/365.25.
We need to give gift to all who gave out their stories without mentioning or intention of showing eating pussy since Africans think only about sex, music, luxury, laziness, dancing, eating, sleeping and having multiple sex with different women.
Kama uwongo angalia nyuzi za mbususu na za kubeti angalia zilivyo na views nyingi mno kuliko nyuzi zingine.
Ila weka maada ngumu hapa za kuumiza kichwa utaona ni wangapi watachangia Kama hawatakimbia kuja kumuona ama kumsoma Iryn alivyompa mbususu Huyu jamaa .

Ila hongera bana umetupa starehe
 
Haya mnayoyaposti ni makahaba! Iryne sio kahaba kwa mukutadha wa hii story! Iryne is so intelligent, financially fit and moral oriented! Hii mi myanamuke manayoyaweka hapa ni makahaba!
tuanze na definition ya kahaba mkuu
 
Mbona mnalata uchafu humu mnasema Iryn ndio huyu. Hivi hamjawahi kukutana ama kula mademu wakali jamani. Kuna demu akipita wanaume wote ama watu wote wanahairisha shughuli zao
 
Back
Top Bottom