Jinsi carryover ya mwaka wa kwanza ilivyotaka kunisababisha nisi-graduate chuo

Humu ndani mnatiana pressure za bure ku carry mara mbili sio shida wala mtu hawezi disco labda kama GPA yake iwe ndogo sana ndio anaweza disco tofauti na hapo ni uongo vijana someni vizuri hizo prospectus za vyuo vyenu
Ndo hivyo kama huna experience acha tu ndugu yangu hata kama GPA ipo, incomplete tu ilikuwa inatosha kukuondoa chuo, yaani hata usipofanya quiz akiamua kukubania utakiona cha moto
 
Ni SoMo Gani hili 😂😂
 
Aseeeeeh poleee sanaaaaa. Kitu naogopaaa n Sup, carry na Disco.

Eeeh Jah asimamiee nisepeee mazimaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hvyo vitu ni hapanaaaa.
Nilijua tu ntakuona hapa msomi jike 🤣🤣🤣🤣 aaah we dada unanichekeshaga sana
 
Pole na pia hongera kuhitimu
 
Kijana pole sana, Mie story yangu kwa kweli jinsi nilivyograduate Mungu tu alinisaidia..... Soo.. Interesting
 
Watu wanaona noma miaka ya nyuma kwa hizi college coursework ya 16 ilkua ina matter watu wakawa wanadisco sana. Imeondokewa lakini bado mambo hayajabadilika bado watu wanaliwa vichwa tu ukisema uweke 16 watakaofaulu hawatozidi 10 CONAS na COET
Hasa COET hapo ni hatareeee tupuuu. Lol
 
Nilijua tu ntakuona hapa msomi jike [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aaah we dada unanichekeshaga sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em niwacheee naweee, hata sisomi mbna mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…