Jamaa anataka kutuaminisha kubwabwaja kwenye radio nako kunahitaji elimu.Hizo media zinatangaza habari za aina gani zaidi ya umbea na udaku na matakatakA tu
Waambieni watoto wenu wasome
Na kama vp,watafutieni channel nje huko waende,huku wabakie wmbea na wapenda udaku tu
Ova
Jamaa anataka kutuaminisha kubwabwaja kwenye radio nako kunahitaji elimu.
βοΈ hili siku hizi linaingia mpak kwenye mashirika binafsi (NGO). Unaambiwq piga mpira kuelekea golini... unapiga, nyavu zikitikisika tu! TAYARI USHAAJIRIWA KAMA MCHEZAJI uende kupiga watu chenga uwanjaniWatu wanatafuta cheap labour ujanja ujanja tu hakuna kitu kingine...
Ayo amesome uandishi wa habari East Africa Training Institute mwaka 2004
Wanafunzi huko Marekani wanadoma masomo mangapi jumla? Hapa tz o level masomo 7 na zaidi. Vipi Marekani?Tokea zamani walikuwa na structure ya elimu ambayo ni skill based, hiyo change of policy ni ku fine tune the already stable education system. mwalimu wangu wa peace Corp aliniambia kuwa in America mashuleni darasani ndio utamkuta mwalimu, so Kuna darasa la math, chemistry, physics etc, kama ukitaka kusoma physics pekee unashinda kwenye darasa la somo Hilo, ndio maana vijana walikuwa wanaweza maliza topics kwa muda mfupi na ku graduate wakiwa wadogo, na mahiri.
Huku kwetu mtoto wa darasa la saba ana masomo karibia nane, by the time anakuja ku specialize ni a level, na tayari alishajaza makorokoro kibao ambayo hayatumiii tena,
Baada ya kwenda kuichunguza shule kaja ku reply mara ya pili π€πJe millard Ayo alipata degree ama diploma huko East africa training institute ?
Why you think not everything?Uko wahuhi
But digrii is not everything
Ubunifu.. kunyumbulika! Kujitafuta kimipango! Kuandaa wazo linaloweza kutekelezek kupitia taaluma yako. Weka mkakati jipozisheni katika mkakati huo.Vijana wawe wabunifu.
Wasitumie mitandao ya kijamii kuangalia ngono na kutongozana na uchawa wa kingese.
Vyeti vitawaozea ndani.
Wakaze mattyakko kwenye ubunifu.
Baada ya kwenda kuichunguza shule kaja ku reply mara ya pili π€π
ha ha haa... clown for Crown π π πNikiona mtu anachanganya 'R' na 'L' huwa ninajiuliza, hivi shule alienda kweli?
Kama alienda shule, mwalimu ndiye alielekeza hivyo?
How neno "crown" uandike "clown"?
Aiseeha ha haa... clown for Crown π π π
Wewe na we Panya kweli, ni kweli Kisaga hahusiki Ila yeye kasema anayehusika ni Kusaga. So Kisaga wako kweli hahusikiUsilolijua ni usiku wa giza, Kisaga hahusiki na Crown FM.
Your right!!! Hivi tunavyojadili hapa android program ya Gepg haifanyi kazi kwa karibu miezi miwili sasa, toka walipojaribu ku upgrade. Na watu wa tehama hawasemi chochote.Serikali inachangamoto hii ndio maana nchi haindelei.
Ina wafanyakazi unakuta kufungua excel hawezi ila ni mkuu wa idara ya tehama