MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Ushaanza kudundadunda naona
Nadunda dunda kivipi huku nasimamia maneno niliyosame mwanzo. Tazama screenshot ya jibu nililokupa mwanzo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushaanza kudundadunda naona
Badiri UI ya JF hio utakuja kuharibu macho bure ushauri wa bure huuNadunda dunda kivipi huku nasimamia maneno niliyosame mwanzo. Tazama screenshot ya jibu nililokupa mwanzo.
View attachment 3015888
Amwajiriwa 2004 au 2005 hivi, unafanya comparison 2024? seriouslyIla hana digrii wala diploma
Vipi ITV nao wanaajiri kwa mtindo hup, namaanisha gazeti la uhuru ni wangaaalia tiktok.
Wasafi, Clouds na Clown ni media za burdening na sio journalism, journalism ni sehemu tu kwao jiulize wanaofanya kipindi cha taarifa ya habari nao wamewatoa tiktok....REASONING
umepanic tuu, hapa ni mtandaoni haandiki kwa kalamu.Nikiona mtu anachanganya 'R' na 'L' huwa ninajiuliza, hivi shule alienda kweli?
Kama alienda shule, mwalimu ndiye alielekeza hivyo?
How neno "crown" uandike "clown"?
Elimu rasmi kwa kile unachotaka kufanya ni jambo jema kulipata maana si tu inakupa uwanja mpana wa kujua nadharia, historia na mengine kuhusu tasnia hiyo lakini pia inakujenga katika kuwa professional.GPA na DEGREE haina umuhimu hasa UKIWA nayo.... ukiwa hauna ndio utajua umuhimu wake..
My take.
Kila mtu ajitathmin na ajitambue mapema hasa hao waliopo Chuoni, Mtaani etc.
Mie nilichosoma na ninachofanyia kazi ni vitu viwili tofauti..
Amwajiriwa 2004 au 2005 hivi, unafanya comparison 2024? seriously
Nenda kampuni ya mwananchi,azam, tbc na media nyingine zilizo serious na tasnia ya habari ndiyo uje uanzishe mada yako.
hapo kigezo kikuu ni lzm uwe ndugu katika imaniHapo kwa Azam watangazaji wao karibia wote ni kutoka UDSM, kuna siku nilikuwa nasoma CV zao nikaliona hilo.
kama huwezi hata kupanga sentence unapataje kaziNi dhambi sana. Watu wamehangaikamkusoma alafu kazi hawapati
Cheti ni muhimu pia ila at least kiambatane na kipaji, huwa naangalia YouTube channels Kuna jamaa yupo USA yeye ni aircraft engeneer, the way anavoielezea complex mechanical stuff za kwenye ndege in a laymans language, unaona kabisa kipaji kimekutana na maarifa.Huu ni wakati wa kutumia vipaji tu,,,,vyeti kwa sasa karibia kila mtu anavyo
GPA na DEGREE haina umuhimu hasa UKIWA nayo.... ukiwa hauna ndio utajua umuhimu wake..
My take.
Kila mtu ajitathmin na ajitambue mapema hasa hao waliopo Chuoni, Mtaani etc.
Mie nilichosoma na ninachofanyia kazi ni vitu viwili tofauti..
Sio kweli jamaa kasoma mkuu. Ukisikiliza story yake wakati anasomea journalism na hustpe za field mpaka kupata IPP hadi kuondoka na mama yale akitaka abaki paleMillard ayo hana digrii wala diploma ila amewai ajiriwa ITV na kipindi chake kilikuwa taarifa ya habari