Pre GE2025 Jinsi Freeman Mbowe anavyoenda kumfuta Lissu kwenye siasa za Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona mbona anambunnge mmoja šŸ˜†šŸ˜†
Wakati unamsifia Mbowe kuleta mridhiano, watu wenu mbona wazidi kupotea na wengine kuteswa kama mdude, au kufa kama yule Mzee kibali, Mimi nilitarajia kiongozi wenu Mbowe angekuja na hoja za maridhiano zenye msingi, Mfano angeeleza namna mheshimiwa rais alivyochukua hatua za kuwalinda watu wenu. Kuwaacha mfanye Siasa bila vikwazo.
 
Hapana. Mbowe? Hapana! Yupo pale chadema just for business. Hatuwezi kuwa na rundo la vyama vya siasa kwa ajili ya biashara binafsi. Tunataka vyama vyenye uthubutu wa kushika Dola na ku challenge chama tawala kwa nguvu ile ile na siyo kuishia kuwekwa kwenye mifuko kama ilivyosasa. Ni ujinga kubeza dhamira ya Lissu. Ni ujinga kudhani mbowe ni mahiri kwa muda wa miaka 30+ ya siasa bila kufikia target. Kama chadema ni chama rafiki wa chama tawala sawa. Mnaobeza Nia ya Lissu ni kwasababu mpo CCM na mnadhani huyu akiwa mwenyekiti 2025 ushindani utakuwa mkali.
 
Ni kweli TL anafutwa kwenye siasa za nchi yetu. Ataenda kujiunga na Dr Slaa kwenye siasa za Club House. Dr Slaa alifutwa kwa tabia kama hizo za Lissu
 
Taka
Taka taka
 
Ni UONGO kabisa, ila wewe bunaona hivyo kwasababu anakubalika na Serikali kwa makubaliano MAALUMU ya kuramba ASALI, chini yake hana Nia ya kutwaa Dola, anasaidia CCM kubaki MADARAKANI!!!!

CHADEMA chini ya MBOWE SIO CHAMA CHA UPINZANI
 
Ccm ndo wanamtetea mbowe wanajua Lissu akichukua nafasi anatia mchanga chakula ya wachumia tumbo wa ccm.

Nkurunzinza mbowe akae penmbeni miaka 30 ya kuchumia tumbo inatosha
 
kama lissu akishinda
he is going to ruin our beautiful chadema ever
Aint no such as beautiful chadema, either get aggressive or dont , siasa za upinzan dont need soft leaders miaka hii, angalia nchi zingine vyama vya upinzani vikoje
So aggresive
 
Chama ni wanachama na sio kuungwa mkono na machawa.
Mbowe muda wake ulishapita
 
Kati ya kura 1,200, Lissu akiokota walau 50 ni kidume.
Chama ni wanachama na sio kuungwa mkono na machawa.
Huku mawilani tumeshawapa msimamo wajumbe wanaotuwakilisha.
Wakifanya makosa chama watakiua na watabaki wao na mbowe.
 
Mwaka huu Lissu atawafurahisheni kudadeq, unadhani Kuna mwana chadema yeyote mwenye akili timamu Bado anamuamini mbowe???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…