Pre GE2025 Jinsi Freeman Mbowe anavyoenda kumfuta Lissu kwenye siasa za Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chama ni wanachama na sio kuungwa mkono na machawa.
Huku mawilani tumeshawapa msimamo wajumbe wanaotuwakilisha.
Wakifanya makosa chama watakiua na watabaki wao na mbowe.
Ni ujinga kufikiri utaupata uongozi wa juu kabisa wa CDM bila kumshirikisha Mbowe.
 
Eti chadema ni mbowe na mbowe ni chadema tatizo limeanzia hapo. Mtu smart hawezi kuweka misingi Kama hii Kwenye tasisi ya umma. Hapo lazima ajue Kuna afya na uhai ambavyo huja katka emergency. He is WRONG!
 
si kweli, Lisu ana uwezo wa kujenga hoja, ameteleza kwa hili la kugombea uenyekiti kwa kuropka hovyo, short of that Lisu is smart upstairs
 
Acha kumlinganisha Maalim Seif na vitu vya kijuinga
 
To be honest, Lissu ni mtu wa kuandaliwa mazingira ya kufanya harakati za field. Yeye ni bingwa wa content na other paperworks, ila management ya watu, hela na assets, Mbowe anavimudu
 
Ni UONGO kabisa, ila wewe bunaona hivyo kwasababu anakubalika na Serikali kwa makubaliano MAALUMU ya kuramba ASALI, chini yake hana Nia ya kutwaa Dola, anasaidia CCM kubaki MADARAKANI!!!!

CHADEMA chini ya MBOWE SIO CHAMA CHA UPINZANI
Chadema ndio chama kikuu cha upinzani chini ya Mbowe iweje uchaguzi huu ndio kisiwe chama cha upinzani?

Mbowe anaenda kumfuta kabisa Lissu kwenye siasa za Tanzania sababu Lissu ni baba aambiliki.
 
Ccm ndo wanamtetea mbowe wanajua Lissu akichukua nafasi anatia mchanga chakula ya wachumia tumbo wa ccm.

Nkurunzinza mbowe akae penmbeni miaka 30 ya kuchumia tumbo inatosha
Mbowe hawezi muachia chama mtu kama Lissu ambaye hajawai kufanya fundraising hata ya madawati.
 
si kweli, Lisu ana uwezo wa kujenga hoja, ameteleza kwa hili la kugombea uenyekiti kwa kuropka hovyo, short of that Lisu is smart upstairs
Uongozi ni zaidi ya kujenga hoja. Lissu anapwaya sana kwenye maeneo mengi ya uongozi. Anafaa kuongozwa.
 
Maccm mnahangaika sana na siasa za Chadema na mnamuogopa sana Lissu.
 
Ni ujinga kufikiri utaupata uongozi wa juu kabisa wa CDM bila kumshirikisha Mbowe.
Daaaah!!!
Hakika utiaji nia wa Lissu kwenye uenyekiti wa CDM umetuletea sura halisi za Wana JF wengi.
 
Hahaha Wafuasi wa Lisu waliisha sema, Lisu atajiunga ACT, Hivyo hawezi kufutika kwenye siasa za Tanzania. Sema hatosikika, lakini hatotoweka.
 
Duh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…