Pre GE2025 Jinsi Freeman Mbowe anavyoenda kumfuta Lissu kwenye siasa za Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ana wafuasi wanaoweza kumuunga mkono kwa lipi?.
 
Mbowe kakupa nini mpaka umejitoa fahamu kuasi hiki? Mbowe haiwezekani apewe misaada kama yeye binafsi, misaada huja kwa kuwatizama chadema wote siyo mbowe binafsi kwani mbowe anajukana kwa uchoyo ubinafsi, chama kikubwa kama chadema katibu mkuu hana mamlaka juu ya idara ya pesa , kitengo cha pesa yupo mbowe mwenyewe na hakuna mwanachadema anajua chama kina shilling ngapi bank ndiyo maana mbowe hataki uongozi mpya kwa hofu ya madudu ufisadi wake kujulikana
 
Mbowe ataiba kura atafanya uchakachuaji awe mwenyekiti haramu lakini safari hii atakuwa kapata funzo kubwa sana
 
Njaa mbaya sasa , isingekuwa na njaa usingekula pesa na mbowe na kujitoa fahamu kiasi hiki
 
Hivi mbowe akipita kutakuwa uthubutu wa kuwaambia ccm wanang'ang'ania madaraka? Kwa hali hiyo ngoja tuendelee na ccm tu mapoyoyo bado wako wengi
Mbowe atapora ushindi wa Lisu atakuwa mwenyekiti haramu lakini sasa atakuwa kama lipumba cheyo mbatia na wenzake
 
Lissu ni mbaya wa Chadema lengo lake ni kuibomoa chadema. Anajua hashindi uongozi ila kaamua avuruge chama.
Huo ndiyo ujinga wa chawa wa mbowe kawalisha ujinga ili muone mbowe ndiyo aendelee kuwa mfalume wa chadema milele
 
Chawa wa mbowe njaa zitawaua kwani wanafikiri kujitoa fahamu ndiyo kumsaidia mbowe kumbe hawajui mbowe kung'ang'ania ni kutaka kuficha uovu wake madudu yake ufisadi wake ana hofu kubwa akiingia mwenyekiti mpya ataumbuka kwa vingi
 
Kama sio Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti, hizi ngonjera zisingewahi sikika. Uchaguzi ungeisha kimyakimya.

Nani amewahi sikia sera au kampeni yoyote Mbowe amewahi fanya toka awe Mwenyekiti wa Chadema, alikuwa hana ushindani wala hajawahi shindania hiyo nafasi.
 
MBOWE ni mwanasiasa mnafiki sana lakini unafiki wake imekaa kimkakati sana kiasi kwamba unahitaji akili ya ziada kuutambua unafiki wake.....

Kinachozidi kutia shaka kuwa ni pandikizi la CCM kwenye siasa za upinzani ni kitendo cha yeye kupiganiwa na CCM ili abakie madarakani.....ni mambo yaliyokuwa dhahiri kuwa kuna kitu nyuma ya pazia.......

Harakati za CCM na butwaa la CCM ukijumlisha na nguvu kubwa inayotumika na CCM kukazania Mbowe abakie kwenye kiti na propaganda zinazoenezwa na CCM kumzuia Lissu vinazidi kutufunua akili zetu na kuuona unafiki wa Mbowe......

Kwa kifupi watu wenye uelewa mpana wa mambo ya kisiasa wameshatoka kwenye giza la ujinga kwa kushuhudia haya yanayoendelea na majibu yapo kichwani........

Nadhani baada ya uchaguzi mambo ndani ya chama hayatakuwa kama zamani......
 
Hivi hizi nyuzi mnaandikiwa na nani? Maana mode of writing ni copyright
 
Chadema inamuhitaji Mbowe kuliko Mbowe anavyohiitaji Chadema.
 
Nafikiri tuache uoga kwa kuwa mnaamini Lissu ndio hitaji la wanachadema kwa sasa basi twende kwenye kisanduku cha kula alafu tutajua mwanaume ni nani.
 
Mbowe atapora ushindi wa Lisu atakuwa mwenyekiti haramu lakini sasa atakuwa kama lipumba cheyo mbatia na wenzake
Mbowe hawezi kuwa kama Lipumba, never. Mbowe ataendelea kuwa hot kwenye siasa za Tanzania sababu amejaa mikakati mikubwa. Anajua pros and cons ya yeye kushindana na Lissu na ataenda mchapa makofi mabaya sana alafu atarudiaha chama kwenye ubora wake.
 
Zipi hizo wakati CCM anaenda tena kuzoa majimbo yote huku yeye akichekelea tu maridhiano. Tunahitaji radical opposition ndio tutaona mabadiliko
Hiyo radical opposition ifanywe na watanzania awa awa?

Lisa kikinuka anapanda ndege anatukimbia hana ujasiri wowote ni joga la kutupwa.

Mbowe anataka siasa zinazoendana na nature ya watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…