Jinsi gani naweza kupata mchumba wa kuoa?

Mwanaume thabiti hawezi ogopa kutongoza demu
 
Tafuta hela.
 
Halafu natongozaje, pengine jinsi ninavyotongoza ni tatizo.


Kama unafatilia mpira ndo kutongoza kupo hivyo


Unaposhambulia Sana ukapiga mashuti 20 on target basi uhakika wa kupata gori moja upo.


Pia jifunze kupanda mbegu -hii kanuni huitwa 'Farmers perspectives'

Wakulima huwa hawalimi mahidi ya kula siku moja Ila wanalima mahindi ya kula hata miezi 3 hadi minne.

So unapotongoza Leo tarh 26/7/2023 maana yake unaandaa mazingira ya kula tunda miezi ijayo so endelea kutongoza Sana utaondoa ukame


Then hiyo kanuni ya 'Farmers perspectives' waweza kui-apply ktk maisha kuwa hela unayo-save ni kwa ajili ya siku zijazo so save more money .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…