Jinsi gani naweza kupata mchumba wa kuoa?

Ok hii kanuni nimeielewa.

Shida kazi ninayofanya hainipi furusa ya kukutana na wanawake wengi.

Route yangu ni
Home(0730)- kituoni- mwendokasi- kazini(1700)- kituoni-mwendokasi-home.
 
Kwahyo jesca amefariki ?
 
Wao wanajua na wana machale sana ukianza kuwa nayo tu utawaona
Mkuu uko sawa, wanawake wananusa Hela Iko wapi na kiasi Gani hata kama utajifanya huna. Miaka ya nyuma nilipata mchongo wa kulipwa laki 2 kwa siku kwa muda wa siku 54 aaa mbona nilikoma. Pisi zote nilizokuwa najuana nazo zilikuwa zinanitafuta zenyewe tena mpaka unajiuliza huyu amefufukia wapi.

Kwenye mada Husika...... Ninako kabinti kwenye umri wa miaka 23 mie sitaki kuishi na mwanamke, kananiganda ila mie nimelaza mkuki,, naweza kumpatia apambane Nako.
 
Ok hii kanuni nimeielewa.

Shida kazi ninayofanya hainipi furusa ya kukutana na wanawake wengi.

Route yangu ni
Home(0730)- kituoni- mwendokasi- kazini(1700)- kituoni-mwendokasi-home.
Hapa shida ni kazi yako inakufanya kua busy sana.
Yes sio wewe tu hata wanawake hukumbana na hii hali,
Kuna baadhi ya kazi hukutanisha na watu wachache mno,na inakua ngumu kutengenexa "soft relationship",ambayo inaweza pelekea mahusiano ya uchumba
Mfano mtu anayefanya kazi hospitali ambapo huja watu wa namna mbali mbali ana chance kubwa ya kutengeneza urafiki na watu kuliko bank teller
Ufanye nini katika hili?
Mi nashauri weka Nia ya kutaka kuoa,kwa kua umri wako ni karibu 30,pia tayari unakazi
Utapataje mchumba?
The "funny fact" kuhusu mchumba wa kuoa,mwenye maadili,bikira,huyu huwezi kukutana naye kirahisi,maana hawa wengi hawazululi na kutembea ovyo ovyo wakiomba hela wanaume,
Hapa lazima uwashirikishe watu wenye busara kwenye circle yako
Sikushauri ulazimishe mahusiano na wanawake wenye njaa,wanaodhani mwanaume ni chanzo cha mapato,"transactional sexual worker"watakudrain,spiritual,physical, economical......utapoteza malengo na focus yako kubwa sana kuhusu malengo Yako ya baadae na pesa kiujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…