Uko wapi?Hadi leo nakaribia floor namba tatu, sina mchumba, mpenzi, wala demu.
Kutongoza imekuwa kazi ngumu sana kwangu. Ninaobahatisha kutongoza wananikataa.
Eeh Mungu wangu nisaidia. Natamani nipate mchumba nioe niendelee na maisha mengine, kuishi hivi pekee yangu upweke mwingi, geto ninapoishi hakuna hata demu wa kuja kunitembelea. Mara moja moja.
Kwa mwendo huu kweli nitaoa?
Kitabia mimi ni
Mpole,
Mkimya kiasi,
Agreeable person.
Watu wenye hekima JF naombeni ushauri wenu.
Ha ha ha ha hutu bado form six mnamshauri mambo mazitiUsipate tabu mkuu
Sikuhizi kuna wachumba wa mchongo!
Muda ukifika ww andaa mahari/anza na vikao kabisa vya harusi halafu kikao cha kwanza waambie wakutafutie mchumba. Utampata fasta hata kama zimebaki siku3 unaoa
Asante sana.Hapa shida ni kazi yako inakufanya kua busy sana.
Yes sio wewe tu hata wanawake hukumbana na hii hali,
Kuna baadhi ya kazi hukutanisha na watu wachache mno,na inakua ngumu kutengenexa "soft relationship",ambayo inaweza pelekea mahusiano ya uchumba
Mfano mtu anayefanya kazi hospitali ambapo huja watu wa namna mbali mbali ana chance kubwa ya kutengeneza urafiki na watu kuliko bank teller
Ufanye nini katika hili?
Mi nashauri weka Nia ya kutaka kuoa,kwa kua umri wako ni karibu 30,pia tayari unakazi
Utapataje mchumba?
The "funny fact" kuhusu mchumba wa kuoa,mwenye maadili,bikira,huyu huwezi kukutana naye kirahisi,maana hawa wengi hawazululi na kutembea ovyo ovyo wakiomba hela wanaume,
Hapa lazima uwashirikishe watu wenye busara kwenye circle yako
Sikushauri ulazimishe mahusiano na wanawake wenye njaa,wanaodhani mwanaume ni chanzo cha mapato,"transactional sexual worker"watakudrain,spiritual,physical, economical......utapoteza malengo na focus yako kubwa sana kuhusu malengo Yako ya baadae na pesa kiujumla
Be humble and take care. OverHadi leo nakaribia floor namba tatu, sina mchumba, mpenzi, wala demu.
Kutongoza imekuwa kazi ngumu sana kwangu. Ninaobahatisha kutongoza wananikataa.
Eeh Mungu wangu nisaidia. Natamani nipate mchumba nioe niendelee na maisha mengine, kuishi hivi pekee yangu upweke mwingi, geto ninapoishi hakuna hata demu wa kuja kunitembelea. Mara moja moja.
Kwa mwendo huu kweli nitaoa?
Ameweka vigezo kibao hivyo kila anayemtokea anaona hafaiDah,
Haya maisha haya.
Wakati wanaume wengine tuna tatizo la wanawake ving'ang'anizi wanaotaka kuolewa na wasiotaka kuachika, wanaume wengine wanatafuta wachumba wa kuoa na hawawapati.
Shida ni hiyo SIENDANI NAYE, umeweka vigezo vikali sanaNiliosoma nao.
Primary,
Sina mawasiliano nao, but probably wengi wameolewa au wameshaa pata watoto.
Secondary.
Kama primary.
Advance
Nimesoma boys.
Chuo
wachache nilikuwa karibu nao, siko interested nao.
Mmoja tuu nilikuwa interested naye tatizo siendani nae.
Umesahau TAG ya MbonekeMwanangu Wewe ni Mzinguaji na kama kweli unataka Mchumba nenda sehemu za Ibada (Msikitini na Kanisani), utakuta pisi zenye hofu ya Mungu, Zingine zina kazi na maisha tayari, zingine familia bora lakini zinahitaji Mwanaume wa kutengeneza familia.
Note: Usiende kutafuta Mchumba kwenye makanisa ya Miujiza na Wokovu, utapoteana mazima. Nenda makanisa kama KKKT,RC, ANGLICAN ,AGT nk
Kanisani nikienda IBada ikiisha sipotezi hata DK naondoka.Mwanangu Wewe ni Mzinguaji na kama kweli unataka Mchumba nenda sehemu za Ibada (Msikitini na Kanisani), utakuta pisi zenye hofu ya Mungu, Zingine zina kazi na maisha tayari, zingine familia bora lakini zinahitaji Mwanaume wa kutengeneza familia.
Note: Usiende kutafuta Mchumba kwenye makanisa ya Miujiza na Wokovu, utapoteana mazima. Nenda makanisa kama KKKT,RC, ANGLICAN ,AGT nk
u need prayersIts not that easy.
Pm pako kimya kweli.
Laaaa haulaaaaaa!!!!!!πKukaa pekeyako Kuna ugumu gani yaani mm naenjoy balaa natoka chooni had chumbani vyovyote vile
Naweza cheza had taarifa ya habari ππhakuna wa kuniuliza
πππYani siku hiz nafanya mazoez ya kucheza komasava kungekuwa na watu wananiona wangecheka had wazimie π€£π€£π€£Laaaa haulaaaaaa!!!!!!π
Mbele za watu unazuga hujui kudance ila ukiwa mwenyewe room ww ni Angel Nyigu mtupuπππYani siku hiz nafanya mazoez ya kucheza komasava kungekuwa na watu wananiona wangecheka had wazimie π€£π€£π€£