Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuko wachache saana wenye hizo sauti,nikiwemo mimi pamoja na Millard Ayo [emoji2]
Kwa hizi memories itamchukua muda sana kumsahau jamaaHahaaa eti sauti nzuri kubwaaaa
Kwa hizi memories itamchukua muda sana kumsahau jamaa
Wadada mkiambiwa rudini Edeni hamtaki, mnataka mnaowapenda nyie
Ile ya kuchaguliwa hamtaki, mnasikiliza mioyo yenu
Hahahaaa pole mdada wa kinyaki, life must go on. Atakuja mnyakyusa mwenzako kukupenda, si unajuaga vile kaka zako wanajuaga kupenda? He will spoil you with nyaki love [emoji3590]. Heaven Sent kama kuna kaka ako huko ambaye hana mke jaribu kumfanyia connections binti [emoji23]
Tuko wachache saana wenye hizo sauti,nikiwemo mimi pamoja na Millard Ayo [emoji2]
Halafu hili ni kweli, hawanaga sauti nzito[emoji848][emoji848]Hahaha kaka zangu hawana sauti kubwa kama ya kokoto wake (kidding). Mungu atamletea tu mwanaume mwingine mwema
[emoji126][emoji848][emoji848]Atakuja mnyakyusa mwenzako kukupenda, si unajuaga vile kaka zako wanajuaga kupenda? He will spoil you with nyaki love
Halafu hili ni kweli, hawanaga sauti nzito[emoji848][emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mlibadilishana.Na wewe unapenda sauti nzito? Nashangaa sauti nzito wametuachia dada zao[emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mlibadilishana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona una utani na Karma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata sijui.Hahaha na yeye ni braza kama mimi?
True kakuona hufai lakini ni bora kujuwa ukweli kuliko kukaa miaka nenda rudi ukijiuliza what happened.Ahsante sana mkuu, ila hapo kaniona sifai aargh mkuki moyoni😪
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hongera kwa kusema ukweli!wewe ndio mwanamke pekee unayeongoza kwa stress humu Jf ila kuanzia leo unaenda kupona kabisa!namba yako ninayo nitakupigia tuongee zaidi
Na wewe unapenda sauti nzito? Nashangaa sauti nzito wametuachia dada zao[emoji38][emoji38]
Ukute ni wewe mwenyewe[emoji14][emoji14][emoji14]Kuna boya hapa linataka kujinyonga demu kasepa na kijiji kasema hamtaki jamaa na status anamuweka jamaa yake mpya toka wiki iliyopita sijui alipewa nini na huyu manzi kupenda hivi ilikua olevel ila hili jamaa na midevu yake linalia kisa penzi
Amefariki[emoji849][emoji849][emoji22]Ni mapenzi tu ya Mwenyezi Mungu mkuu. Binafsi nilimpenda sana, na yeye alinipenda sana! Ila Mungu alimpenda zaidi.