Jinsi Hezbollah inavyoitembezea kichapo Israel kimyakimya

Jinsi Hezbollah inavyoitembezea kichapo Israel kimyakimya

😄 mimi niwe na hasira sababu yawavaa misalaba, peleka pesa kanisani huko hasa kama umekaa bench ya mbele ukatoe 1000 ili unywe maji alio leta Padr😄
Una ujinga sana unajaribu kuhusisha ukristo na hiyo vita. Hivi nikuulize kitu kwanini hamas walirusha mabomu kuuwa waisrael October 7. Na Fuvu lako lione ni haki kwa hamasi kuuwa waisrael Ile October 7.Na fuvu ilo ilo lione si haki waisraeli kuuwa?. Bichwa lako lilitaka Israel asijibu akae kimya tu. Usichokijua Mwisrael wa hivyo bado hajazaliwa Mwisrael halisi ndiyo huyo muuwe atakuuwa ni jino kwa jino.
 
We kweli kondoo ukisema nisihushishe ukristo wakati nyie wakristo ndio mnashangilia Israel kwa ujinga wa kiwauwa civilian.

Ukitaka kujua wewe ni mjinga unfikiria matatizo ya Hamasi na Israel yameanza 7th October wakati kabla ya hapo Israel kila week au siku au mwezi lazima akawauwe wa Pakestine, sa we ulitaka Hamasi wawache tu auwe wapalestina.

Acheni ujinga kwanza Israel hana nchi alipewa ardhi ya wapalestina mwaka 1948 na uingereza.

Mmekalia ujinga tu kama bibilia zenu, bibilia ilikuwa inaongelea Israel ni binadamu ambaye Yakobo nyie mkageuza eti iliongelea nchi, mgekuwa mnakili wakati bibilia kama ilikuwa inaongelea nchi wakati ule Israel ilikuwa wapi?

Mgeiuliza bibilia yenu neno la Israel ni nchi au binadamu kama ni nchi ilikuwa ina refer nchi gani wakati ule haha 😄

Tukiwambia wavaa misalaba akili zimekaa kama vipande vya msalaba hamjui wapi ni wapi na nini ni nini .
 
Aliposema Yemeni Armed Forces mimi mbavu sina 🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe unadhani jeshi la Yemen kama JWTZ ina mizinga ya saba saba mitano tu 😄

Mulize America na Muingereza wameisha shambulia mara ngapi Yemen na wameshindwa kumzuia kuifunga Red Sea sa mpaa Mediterranean Sea anaripua, we unadhani JWTZ lingeshambuliwa tu na America na Muingereza siku moja mgebaki na silaha au camp za jeshi 😄

Yemen ni kiboko yule usimfananishe namajeshi mengine.

We huoni Israel hosogezi pua pale, au Saud Arabia .
 
Amka usijikojolee. Israel inarusha ndege kwenye anga la Syria ambapo Iran ipo miaka zaidi ya 10. Sembuse hapo Lebanon ambapo Iran hawana military presence?

Wakati Jenerali Soleimani anauwawa na drones kule Iraq hakukuwa na mifumo hiyo? Mbona Iran ipo miaka mingi na silaha zake Iraq.

Wakati majenerali wa Iran pale Damascus wanauwawa na shambulizi la ndege za Israel hiyo mifumo ya ulinzi wa anga haikuwepo? Iran ishindwe kulinda majenerali wake ije kulinda wanamgambo.

Pale Syria hadi Russia ina air defense systems ila hutokaa usikie Israel imeshindwa kufanya inavyojisikia kufanya.
Mkuu embu usitupige kamba.
Syria hakuna mifumo ya ulinzi ya Khordak wala Bavaar.
Iran pale Syria ana supply ya silaha za makombora,maroketi,bunduki,mabomu,risasi na armoured vehicles.
Unless utuletee picha ya Khordak ADS au Bavaar ADS zikiwemo Syria.
Hizo s300 za Russia zilizokuwepo Syria ni kwaajili ya kulinda kambi za Russia sio ku cover anga nzima ya Syria.
Na mwaka juzi zilikua activated Israel alipoteza ndege mbili za F-16 pale Syria.
Mlengwa wa Syria na Lebanon kwa Iran uko tofauti,kundi mama la makundi yote ya axis of resistence ni HIZBOLLAH,mengine yanafuata.
Yani Khordak iweze kuzuia drone zilizotaka kuingia Iran zishindwe kufanya kazi sehemu zingine!?
Usisahau mfumo wa ADS uliotungua ile drone ya MQ pale Yemeni ni Iranian made.
 
Una ujinga sana unajaribu kuhusisha ukristo na hiyo vita. Hivi nikuulize kitu kwanini hamas walirusha mabomu kuuwa waisrael October 7. Na Fuvu lako lione ni haki kwa hamasi kuuwa waisrael Ile October 7.Na fuvu ilo ilo lione si haki waisraeli kuuwa?. Bichwa lako lilitaka Israel asijibu akae kimya tu. Usichokijua Mwisrael wa hivyo bado hajazaliwa Mwisrael halisi ndiyo huyo muuwe atakuuwa ni jino kwa jino.
Ona ulivyo mtupu kichwani.
Ugomvi haukuanza October 7,ulianza August ambapo IDF pamoja na walowezi wa kizayuni walikua wakichoma mashamba ya mabedui Jenin na kuvunja nyumba zao.
Wakahamia Gaza wakafunga Bereta juu ya ukuta.
Je ulitaka Hamas wakae kimya!?
Mpumbavu kweli wewe.
Antoine Gutteres alishalieleza hili vita haijaanza October 7 watu wasijisahaulishe.
Vyombo vya habari kipindi vinaripoti August nyumba za Wapalestina zikivunjwa hakuna chombo cha kimataifa kilipiga kelele wala kupaza sauti,kisa ni Israel.
Ila Hamas alipo retaliate mnapiga kelele au siyo!?
 
Kwa hiyo Hamas ni uislamu ndiyo ukarusha mabomu kuuwa wayahudi au siyo?. Sasa Kama unajua ni ya siku nyingi unabweka bweka nini?. Acha wauwane tu.
 
Ona ulivyo mtupu kichwani.
Ugomvi haukuanza October 7,ulianza August ambapo IDF pamoja na walowezi wa kizayuni walikua wakichoma mashamba ya mabedui Jenin na kuvunja nyumba zao.
Wakahamia Gaza wakafunga Bereta juu ya ukuta.
Je ulitaka Hamas wakae kimya!?
Mpumbavu kweli wewe.
Antoine Gutteres alishalieleza hili vita haijaanza October 7 watu wasijisahaulishe.
Vyombo vya habari kipindi vinaripoti August nyumba za Wapalestina zikivunjwa hakuna chombo cha kimataifa kilipiga kelele wala kupaza sauti,kisa ni Israel.
Ila Hamas alipo retaliate mnapiga kelele au siyo!?
Sasa nani anapiga kelele Kama siyo wewe. Acha wadundane tu wakichoka watatulia .watu wanachukua ardhi kila siku alafu unaleta ushabiki wa kidini.
 
Una maana wale Wanamgambo wanaotafuna Mirungi?!
Hao hao lakini hakuna jeshi limesogeza pua pale we baki wanatafuna mirungi lakini USA na UK na Saud Arabia, Jordan. Baharain, UAE na Morocco walipiga we mwisho wakachoka hawazifiki silaha zao, wanapiga empty mountains au wakapige vijumba vya raia au camp wauwe walinzi tu wa Gate 😄

Wale si JWTZ ukadhano wana mizinga mitano tu ya saba saba na miwili mibovu 😄
 
Amka usijikojolee. Israel inarusha ndege kwenye anga la Syria ambapo Iran ipo miaka zaidi ya 10. Sembuse hapo Lebanon ambapo Iran hawana military presence?

Wakati Jenerali Soleimani anauwawa na drones kule Iraq hakukuwa na mifumo hiyo? Mbona Iran ipo miaka mingi na silaha zake Iraq.

Wakati majenerali wa Iran pale Damascus wanauwawa na shambulizi la ndege za Israel hiyo mifumo ya ulinzi wa anga haikuwepo? Iran ishindwe kulinda majenerali wake ije kulinda wanamgambo.

Pale Syria hadi Russia ina air defense systems ila hutokaa usikie Israel imeshindwa kufanya inavyojisikia kufanya.
Jiulize na wewe kwann hadi Urusi ana mifumo ya Ulinzi wa anga Syria lakini Israel huwa anarusha makombora? Lakini habiki maeneo ya Urusi? Msiwe mashabiki maandazi tu Wakubwa wa dunia wanalinda maslahi yao tu hakuna lingine mwambieni huyo Mteule wenu wa Mungu apige kambi za Mrusi uone kama kuna ndege itakatiza Syria 😂
 
Hilo Jeshi la Yemen lililopigwa na Jeshi la Eritrea na kunyang'anywa Visiwa vya Dahlak?!

Wayemeni wenyewe walitawaliwa na Waethiopia.

JWTZ ni Jeshi imara.
Hahaha dogo acha ujinga Eritrea alivamia kisiwa cha Yemen wakati ule alikuwa Rais Ali Abdallah Saleh huyo aliwapa warning Eritrea waondoke kwa usalama mbona waliondoka lini Eritrea alipigana vita na Yemen 😄

Lini Ethopia ili tawala Yemen leta dalili wacha kuongea kama mlevi au mvuta bangi.

JWTZ ni imara kwa kupigana na jeshi lisio na silaha yani bunduki kwa bunduki nani siku hizi anapigana vita vya hivyo hana vifaru vya mana, hana air force ya mana akingia vita na Yemen anachakazwa kwa nusu siku tu.
 
Lini Ethopia ili tawala Yemen leta dalili wacha kuongea kama mlevi au mvuta bangi.
occupation of Yemen by the Christian Abyssinian kingdom (modern Ethiopia) in the 4th and early 6th centuries AD
Aksumite under Kaleb invaded Southern Arabia and Yemen from 520 and controlled it until 525 when Sumyafa Ashwa was deposed by Abraha. Emerging from the earlier dʿmt civilization, the kingdom was founded in 1st century.

Hata husomagi hiyo Quruani na Visa vya Matembo wa Abraha.
 
Fatilia vizuri Yemen ndio aliwatawala wa Ethopia
 
Back
Top Bottom