Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Nilijua niko peke yangu katika hili...
With or without you, I shine
Yan we acha tu, tena huwa ni misemo yangu hiyo nimeiformulate ambayo ndio huwa inaniongoza ktk maisha yang ya kila siku na kiukweli huwa nachoma sana watu pale wanapotaka kunifanyia mambo meusi

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Hata Sijawahi kuelewa ila nadhani tutaelewana tu. Utakua katibu wa kikao. Mada ni jinsi gani tukabiliane na jamii hii ya extrovert
Tuwaache waendelea kutokutuelewa Bora wenyewe tunajitambua inatosha [emoji3][emoji3]
 
Utapata yule unayemtaka, niliwaza je namm nitakuja kupata aina ya mwanamke ninayemtaka but trust me,hakunaga kuchelewa ktk kutafuta au kutaka kile ambacho roho na moyo wako unapenda

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Utapata yule unayemtaka, niliwaza je namm nitakuja kupata aina ya mwanamke ninayemtaka but trust me,hakunaga kuchelewa ktk kutafuta au kutaka kile ambacho roho na moyo wako unapenda

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Kwa me ni rahisi kupata mwenza, Ila Kwa ke ni ngumu kidogo hawatuelewi. jamaa wanapata shida kujieleza na mwisho wanaamua kutupa majina ya ajabu ajabu,
 
I find myself in every thing you said, bahati mbaya sasa mtaani niko peke yangu, hivyo ukuaji wangu umepitia changamoto nyingi sana ikiwemo abusiveness kama kutengwa,kuonewa,kusingiziwa, name calling, but nimekuja ku-emerge kama mtu ambaye ni fearless, so much ego, sipelekeshwi,najikubali, siongei sana, nafunguka na ni mcheshi na muongeaji hasa kwa watu nilionao karibu, nina huruma sana na ninaguswa na matatizo ya watu,dah nina upendo wa dhati mno na nadiriki kusema atakayekuja kuwa mke wangu atakuwa na bahati sana. Ila ktk yote vitu nisivyoweza weza kuvumilia ni uonevu,nilishawahi kukutwa na matukio ya kutaka kumkata mtu na panga,kurusha kisu, kumponda mtu na jiwe kubwa, na vingine vingi tu ila yote ni kuonewa ambako ndio siwezi kuvumilia hata kidgo. Nina marafiki wachache sana na ninaweza jitoa kwa ajili yao kwa hali zote za shida na raha.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Tumefanana, uonevu kwangu ni mwiko
 
You are me in other dimension
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…