Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

100% ndivyo nilivyo!!!!
Kinachonikoseshaga raha ni suala la kuwaza sana aisee huwa nawaza mno toka nikiwa mdogo!
 
Tupo wengi hilo la kuwaza Sana,lakini mimi huwa naenjoy nikiwaza sikosi raha.Sababu kwa njia ya kutafakari napata vitu vingi sana.naweza nikatulia mahali masaa hata 2 nawaza tu nikitoka hapo nafeel poa sana
100% ndivyo nilivyo!!!!
Kinachonikoseshaga raha ni suala la kuwaza sana aisee huwa nawaza mno toka nikiwa mdogo!
 
Uliyosema yote Ni ukweli ila aya hii Ni zaidi ya ukweli ni Mimi mwenyewe kabisa wengi wanatuona Kama viburi nk

Marahupenda kuonesha sura za tabasamu hata kama wapo katika matatizo makubwa
That's me.. [emoji24] naweza nikawa sad ila natabasam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…