Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Daah nimeona Kama unaniongelea Mimi, nakuaga na Huruma Sana hasa mtu akilia shda Kama naweza kumsaidia, namsaidia.. napia naogopa kuwaambia watu ukweli.. coz I hate hurting them..[emoji2960]
 
Daah pole sanaa.. Mkuu.. uko Kama Mimi.. sometimes I hate myself..
 
[emoji119][emoji119]
 
Daah huyu ni mimi kabisa
 
Mh aliesamarise aniappdate [emoji21]
 
Mimi sio introvert, lkn nina rafiki tangy yuko hivyo, nilikutana nae shule. Ilikua shida Sana kumzoea Ila tulienda sawa akawa rafiki mpka leo.
Alikua na aibu na uwezo mdgo Sana wa kujieleza. Nakumbuka kuna binti alikua anampenda sana lkn anashindwa kumueleza. Nikimuuliza anakataa ingawa nilijua hilo. Nilichofanya nilimfuata yule dada, nikamueleza ukweli kua jmaaa anakupenda sana lkn anashindwa kukuanza tu, na yuko hivyo kama unahisia nae mrahisishie muwe wote, kumbe binti nae alikua anamkubali Sana jamaa. Walipoanza mapenzi toka 2013, mpaka leo na wapo kwenye process za kuoana saiv. And lack enough jamaa alikua hajawahi kusex na bint alikua virgin sijui siku ya kwanza kukutana ilikuaje.
Jamaa hata awe na shida vip, hapendi kuomba msaada, yaan mpka mda mwingine naforce tu kumsaidia.
Jamaa alikua hapendi maneno mengi anaboreka Sana. Niliwahi kwenda magetoni kwake na rafiki angu mwingine sasa huyo rafiki mwingine alikua hatulii Mara kabadilisha wimbo, Mara kabadilisha movie kwa laptop, Mara kakosoa hiki, Mara kile. nikaona jmaa anakosa amani nikaamua kuondoka tu ili awe huru.
 
jamaa anaonekana mpole sana
 
That is me,yaani nikitoa kitu sehemu nikimaliza kutumia narudisha pale kilipokuwa,uchafu ni adui yangu mkubwa,huwa ni rahisi kuweza kujua kuwa kuna mtu kapekuwa vitu vyangu,napata tabu sana kuishi na mtu asiejielewa,mtu ambaye ni rough,hata kama angekuwa na pesa na mali naweza nisione thamani yake kabisa.But to be honest am proud to be introvert...
 
Nina aibu mbele za watu labla chumbani kwangu nikiwa pekeangu.hizo mambo tuwaachie kina sanguine
Vip kwenye sherehe kama graduation yako ya shule ivi ulifanyaje vp haujawah kutana na tukio lolote lililokutaka ucheze je ulifanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…