Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Akili mingi.. Tena Kwenye mahusiano ndio tunawachoraga sana wasiotufaham.. siku moja tuu mtu anawekewa File mezani mpaka kuomba msamaha au kutetea haki yake anashindwa.
 
Kuna kipindi fulani wife alikuwa anachonga sana mimi nikawa nipo kimya tu namsikiliza kila siku akajua ameshanikamata tayari.
Dah basi nikamchoka aisee akashangaa siku moja namvutia waya mshenga wetu tumalize mchezo kila mtu afe kivyake aisee macho yalimtoka hakuamini kinachoendelea basi tangu siku hiyo amekuwa na adabu ameshajua kwamba sinyenyekei mtu na sihangaiki na uzuri[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38]
Akili mingi.. Tena Kwenye mahusiano ndio tunawachoraga sana wasiotufaham.. siku moja tuu mtu anawekewa File mezani mpaka kuomba msamaha au kutetea haki yake anashindwa.
 
Nimekuelewa vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo wa kujitambua ndo mwanzo wa kuutambua ulimwengu...

Wengi leo wanaishi maisha ambayo si yao,kwasababu ya kukosa kujitambua....ndo pale unakuta mtu anafanya jambo Ili tu aendane na mtu fulani au amfurahishe mtu fulani.

Hapana introvert si tatizo la kiakili,ni katka kujitofautisha kitabia miongoni mwa wanadamu,kama ilivyo mfano:-

Makundi yetu ya damu....makundi yetu ya rangi....makundi yetu ya kijinsia....n.k
Lau tungeumbwa wote tuwe tunafanana kwa kila kitu sijui dunia leo ingekuwaje.

Natamani sana elimu yetu ya msingi ingekuwa inafundisha masomobya psychology na ujasiriamali wa kujitegemea...

Faida ya kujitambua utaweza kugundua mengi kwanza kabisa utajua nini unataka/unapenda ktk maisha yako na nn hupendi/hutaki katka maisha yako...hii itakufanya ujitofautshe na wengne....

Kuna baadhi ya vitu/watu watahitaji wawe na wewe lakini kutokana na wewe ushatambua nini unataka huenda ukaishia kuwakwepa au kuwakataa,mwishowe watasema wewe unaringaa.
 
Hii thread nimeipenda sana...
Kwanini tusianzishe LIVE MEETINGS kwenye mikoa tuliyopo kwa ajili yetu sisi Introverts; ili tutiane moyo, tuelimishane, tujengane na tutafute suluhisho za kudumu kwa mambo yanayotusibu katika maisha?
Halafu si vibaya tuanzishe hata telegram group letu jamani.

NB: Mimi sipo social sana, ila napenda ku'volunteer na kuwasaidia watu na jamii kwa ujumla. Pia, mimi kwa sasa nina Confidence katika maswala ya kujieleza na kufanya Presentation mbele za watu.

 
Oooh, ni vema kuchagua mwenza ambaye uko naye nyota moja au?
 
Vipi imeshawahi tokea tukio ambalo lilikutaka ucheze ulifanyaje
Pia kwenye harusi yako umepanga kufanyaje kuhusu kucheza
Kwani kicheza lazima? Bila shaka hakuna wa kulazimisha mwingine kucheza.
 
Ndugu, nakuelewa vizuri, ili nijue vizuri haya mambo, kuna course au kitabu unaweza kupendekeza? Msaada wako tafadhali. Pia, comments za huko juu, jamaa amegusia kidogo kwamba tarehe na mwezi wa kuzaliwa una mchango katika haya mambo kidogo, je hili likoje?
 
Oooh, ni vema kuchagua mwenza ambaye uko naye nyota moja au?
hapana mkuu haiko hivyo..kila nyota ina nyota ambazo inaendana nazo kwenye suala la mahusiano..hasa hasa nyota ambazo mnashare elements (moto,hewa,maji na udongo)

mfano mwanaume wa nyota ya simba anatakiwa kuwa mwanamke wa nyota ya kondoo ,mshale na mizani

nk
 
Naomba kuuliza ivi ma introvert wenzangu mnajua kucheza yaan kudance kwenye party stlye kama vile kwaioto shakushaku au yeyoye ile
Me nina kipaji cha kudance sana style hizi za kisasa hata trap za kina ayo & teo ila huwa nafanya ndani. Hadharani siwezi kabisa yaaani
 
Mzee we upo kama mm yani πŸ˜‚kuna manzi mmoja ingawa ni mzr akanikoroga nilivyomfungia vioo hakuamn mpaka leo mwez wa 4 anaishia ku view status zangu tu na hapo nisha block weng inshort sipend kelele na mtu anipande kichwan kwa upole wangu
 
Akili mingi.. Tena Kwenye mahusiano ndio tunawachoraga sana wasiotufaham.. siku moja tuu mtu anawekewa File mezani mpaka kuomba msamaha au kutetea haki yake anashindwa.
Kila navyopitia comments naona kama introverts wengi ni mapacha yan mm yan mm nikikwambia no ujue nnasabab kama 3-5 na huwez kujitetea
 
Kila navyopitia comments naona kama introverts wengi ni mapacha yan mm yan mm nikikwambia no ujue nnasabab kama 3-5 na huwez kujitetea
Kuna mdau katoa wazo hat tuwe tunakutana kwa ajili yakushare changamoto zetu naongezea hasa zile zinazoweza kutufelisha kimaisha.

Nilipanga nyumba ambayo tulikua kama wapangaji 9, iliwachukua kama miaka 3 kulijua jina langu tuu... na wakaanza kuniogopa yaani issue zote watatuma watoto waniambie.

Sikua najua kuwa hii ni Nature yangu, kimahusiano naweza sema yale yliyovunjik basi mimi ndio niliyvunja.. na baada ya uzi huu hope utanisaidia sana mbeleni.

kwa watu walionizoea, mimi ni intertainer wao na hawachoki kukaa na mimi isipokuwa huwa nakerekwa na vitu vidogovido.

Sema kwa suala la kujielezea mbele za watu, aisee mi siogopi ila iwe ni issue kweli sio maigizo au blabla... hapo unaweza sema nina aibu au nanata sana. Maana yasiokuwa na maana huwa nayahisi kabla na huwa hivyo kweli na kama kitu sina uhakika nacho hata kama nitapata hasara kutokukifanya bora iwe ivyo.

Nakunatabia moja, naweza kumshauri.mtu ushauri mzuri sana utakaomsaidi katika changamoto zake lakini mimi nikiwa nachangamoto kama zake siwezi kuutumia ushauri niliompa.

Kuna mengi mengi mengi....
 

Introverts tunaongoza kwa Gubu hatari. Gubu hilo aisee 🀣🀣🀣
 
Mimi maisha yananibadilisha, now ni introvert niliyechangamka.

Kilichobaki ni kutokuweza kuchangamana na watu kabisa, kutumia muda mwingi peke yangu, mtu akiwa hanipi amani namuondoa kabisa kwenye maisha yangu. Kukaa kimya kunazidi kupungua now mtu akinikera Nampa live.

Napata amani zaidi nikiwa peke yangu
 
Mimi sijui nipo kundi gani napenda kujifahamu maana nahisi hakuna mtu anayenielewa nipoje personally.

Sifa au tabia zangu ni kama zifuatazo:
1. Mimi ni mcheshi (mwenyekupenda sifa) kila kitu nataka niwe muongozaji nikiwa mbele za watu napewa heshima na attention kubwa
2.mimi napenda kujichanganya na watu lakini sitaki unifuatilie kabisa ani.
3. Mimi ni creativity personal na watu wananiamini natengeneza simu, umeme majumbani, vifaa vya umeme,shughuli za ujenzi na kupaka rangi kuta bila ujuzi wowote kutoka chuo.
4.nina vipaji vingi nacheza basketball sana tu, napiga guitar,naimba.
5.Sipendi kumfuatilia mtu hata ukija na story zako za kisinichi nakutema hapa sasa najikuta kuambiwa nina dharau
6.nachagua marafiki japo ni rafiki wa kila mtu lakini mpaka niwe na best friend hapo pana kazi sana kila mtu namuona ni sinchi tu.
5.katika aibu sina aibu kabisa aidha kwa KE au ME.
6.katika mahusiano najitoa ufahamu kabisa nikipenda napenda kweli kweli hata iweje natumia kila njia tustand kwenye relation lakini nisipopenda lazima ujutie kwanini ulinifahamu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
7.Napenda kuwa systematic kitika kila jambo sio mwepesi kukatishwa njiani yani kuishi out of my willing.

Wana psychologist nipeni madini ni ya mung'unye πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
wanawatuma watoto wakuambie[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…