Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Sisi wengine bado kujieleza ni ngumu tukikutana inakuwaje?
 
Hizo nyota tunajuaje sasa?
 
Sisi wengine bado kujieleza ni ngumu tukikutana inakuwaje?
Wala usijali... Kumbuka, "birds with the same colour fly together". Hakuna kitakachoharibika my friend.
Tena umenikumbusha, natengeneza group la telegram muda si mrefu halafu nitatupia huku JF hiyo link, ili Introverts tu'join.
 
Hivi kuna mtu Extrovert kuzidi baba levo[emoji3][emoji3]
Kwa unaowafaham wewe!.. kwaninaowafaham mimi baba Levo haingii hata robo. Classment wangu ilikua wakati wa likizo tukiwa safarini Behewa zima linamsikiliza yeye full vicheko mpaka watu wa mabehewa mengine wanasogea wajue watu wanafurahi nini.
 
introvert anatakiwa kuwa kama alivyo! akijaribu kuchepuka na kufuata tabia kama za flani anapotea kabisa kama unabisha niulize mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…